Rayvanny kama umegoma kumlipa Diamond Platnumz pesa yake basi mlipe hata Chege pesa zake, acha dhulma...!

Rayvanny kama umegoma kumlipa Diamond Platnumz pesa yake basi mlipe hata Chege pesa zake, acha dhulma...!

Happy ni sawana malipo ya BAADAE.yaani wewe kila lakini utakuja kulipia baadae.
Kama kweli ulitaka kumsaidia kulikuwa na haha gani ya kumuwekea VIKWAZZO akitaka kuondoka?kwa hyo unataka wakae WCB milele? mikataba ya unyonyaji NI sawa.na ile ya akina chifu mangungo
Kwani mkayaba wao unasemaje miaka mingapi
 
Huyo Mac Voice alitelekezwa kitambo na Chege. Kusainiwa na Rayvany ilikuwa kama msaada kwake kwani kijana alikuwa na hali mbaya sana. Chege anatafuta kiki tu ila mwenyewe anajua alikuwa ameshamtelekeza Mac.
Chege hajawai mtelekeza Maka alipwe gharama zake alizotumia kumtengeneza. Rayvanny alimuona Maka akiwa tayari ni brand.
 
 
Wasichoelewa watu wanadhani izo 60% anachukua Diamond pekeake na kuziweka mfukoni

Wanasahau kuwa ile WCB ni kampuni,ina mameneja,wafanyakazi kibao mpaka wafanya usafi, ofisi inatakiwa kulipa kodi ya pango,kodi za serikali na tozo zote zinazotakiwa.
 
Rayvanny unadaiwa na WCB Wasafi lebo iliyokutoa na kukupa mtaji wa jina lako. Mpaka sasa unarukaruka tuuu unafikiri utaondoka na biashara ya watu bure bure. Kiufupi usipolipa utaendelea kuwa msanii wa WCB Wasafi.

Achana na ilo mpaka leo hutaki kulipa pesa za Chege Chigunda alizowekeza kwa msanii uliyemtorosha kwenye lebo yake.

Unatafuta huruma wakati wewe unafanya dhulma kwa Chege.

Msanii wako Macvoice ametengenezwa na Chege akaweka pesa zake kuanzia videos, kumuweka mjini, studio times nk alafu ukamuiba bila kuangalia pesa zilizowekwa na Chege.

Laana ya kudhulumu watu itafanya lebo yako iendelee kudumaa.

Umemnyonya Chege, S2KIZZY, Mapanch, Robby nk utapiga vipi hatua kwaeunyonyaji huu [emoji848][emoji848]
Ndiyo kwanza bado tupo January lakini Diamond platnumz tayari ameshatoa video bora ya mwaka 2024, kitu gani umekipenda kutoka kwenye hii video ya "yatapita".?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa ni kinyonga.
 
ILA WASAFI WANAJUA KUJIREMBA MAZEE, KAMA VIDADA.NILISHANGAA MBOSSO WA SURA NGUMU ALIVYOKUWA MREMBO PALE WCB.HASA WAKISUKAGA YEBO YEBO.sijui kama nimepatia msuko.
 
Back
Top Bottom