Rayvanny kama umegoma kumlipa Diamond Platnumz pesa yake basi mlipe hata Chege pesa zake, acha dhulma...!

Kwani mkayaba wao unasemaje miaka mingapi
 
Huyo Mac Voice alitelekezwa kitambo na Chege. Kusainiwa na Rayvany ilikuwa kama msaada kwake kwani kijana alikuwa na hali mbaya sana. Chege anatafuta kiki tu ila mwenyewe anajua alikuwa ameshamtelekeza Mac.
Chege hajawai mtelekeza Maka alipwe gharama zake alizotumia kumtengeneza. Rayvanny alimuona Maka akiwa tayari ni brand.
 
 
Wasichoelewa watu wanadhani izo 60% anachukua Diamond pekeake na kuziweka mfukoni

Wanasahau kuwa ile WCB ni kampuni,ina mameneja,wafanyakazi kibao mpaka wafanya usafi, ofisi inatakiwa kulipa kodi ya pango,kodi za serikali na tozo zote zinazotakiwa.
 
Ndiyo kwanza bado tupo January lakini Diamond platnumz tayari ameshatoa video bora ya mwaka 2024, kitu gani umekipenda kutoka kwenye hii video ya "yatapita".?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa ni kinyonga.
 
ILA WASAFI WANAJUA KUJIREMBA MAZEE, KAMA VIDADA.NILISHANGAA MBOSSO WA SURA NGUMU ALIVYOKUWA MREMBO PALE WCB.HASA WAKISUKAGA YEBO YEBO.sijui kama nimepatia msuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…