Rayvan kuondoka mondi kaumia sana na vivan ana nyota sana kuimba na maluma ile sio mchezo hata mondi aliumia sana na pale ndipo alipotengeneza mpunga mrefu sanaaAnaposem aanasaidiwa inaingia akilini kweli wkt mtu ana kipaji chake anaimba kwa koo lake na bado anachukua 60% huo ni msaada? Akae mwenyewe basi ajisaidie
Ngoja niwajibike kwanza ntakufuata DM jioni. Tuachane na hawa watu tuongee mambo yanayotuhusu.
PM yangu ipo closed. wajibika kisha kaa kwa kutulia
Hahah yani unakaa hapo una-imagine maisha yangu?Sema we mzee unakomaa na hawa jamaa. Sijui Diamond alikukosea nini! Kuna wewe na yule dada mmoja humu. I can't imagine how is your life. I don't think it's a happy one. Sometimes I feel sorry for people like you.
Dogo inno ndiyo ivyo tena wcb inasambaratika 🤣🤣🤣Kama alikuwa anawaonea wivu kwanini aliacha project zake akajikita kuwapa promotion mfano hapo kwa harmonize na Rayvanny kipindi wanatolewa diamond alikaa mwaka bila kutoa ngoma badala akawa anawapost Sana wasanii wake, akawa anasimamia shows zao na time ya nyimbo za hao madogo kupata airtime
Hahah yani unakaa hapo una-imagine maisha yangu?
Unanipangia maoni ya kutoa wewe kama nani??
Najitahidi kutafuta lugha ambayo haitakukosea heshima nakosa.
Acha hizo. Nataka nikupeleke Coco beach tukale mihogo.
Mtu wa misigiri ndani ndani hapqjui coco beach
Mkuu unapenda Sana kuwa negativeDogo inno ndiyo ivyo tena wcb inasambaratika 🤣🤣🤣
Ntakutumia na ya kutolea
Ongezea ongezea ununue cheo cha platinum member,toa hio hio expert member
Niwe platinum member mimi Le Mutuz?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkiwadanganya watu wa FB inatosha, vanny yupi mwenye pesa chafu?? Nacheka km mwehu lol.Rayvan aliishalipa pesa zote sema mondi inamuuma coz van ndio aliingiza pesa nyingi kuliko wote pale na sasa anajua hakuna mwingine ndio maana inamuuma, na true sasa hivi anapesa kama hujui hilo kwanza meneja wake yule mzimbabwe anapesa chafu mfatilie uone
Kama alikuwa anawaonea wivu kwanini aliacha project zake akajikita kuwapa promotion mfano hapo kwa harmonize na Rayvanny kipindi wanatolewa diamond alikaa mwaka bila kutoa ngoma badala akawa anawapost Sana wasanii wake, akawa anasimamia shows zao na time ya nyimbo za hao madogo kupata airtime
Wanakushikisha ukuta wewe kijana unaonesha dalili zoteWasafi ni wanyonyaji
Kweli Tanzania dhiki imetulemaza akili....yaani mtu anaweza kukuita umchimbie shimo la choo alafu akakulipa anachotaka yeye....kisa tu ulikuwa umekaa tu kijiweni huna ishu kwa hiyo kukuchimbisha shimo la choo na kuvuja jasho mpaka makalioni ni alikuwa anakusaidia tu......,
Unazingua , mikataba ya zuruma haihitajiki, mzurumu mtoto akiwa mdogo na haelewi kitu, Sasa mtu anaanza kutapeli mpaka watu waliokuwa kimuzikiRayvanny anataka mshtaki Mondi kwa Samia na ishu ipo kwa Mchengelwa.
Kwenye public ana act anatoka kwa wema ila nyuma ya pazia bora Harmonize.
Nilikuwa naskiaga tu wanyakyusa sio watu sasa ndio nimeamini
THT wamekukataa
Tiptop wamekukataa
Yamoto wamekukataa
Wasafi ikakugeuza supastaa leo unaongea shombo eti Mondi alikuwa anakunyanyasa alikuwa hakupi superstar treatment...umejenga nyumba nne ukiwa Wasafi na unatembelea V8 unataka upate nini au uwe Mondi?