Rayvanny kawaumiza Sana Wasafi

Rayvanny kawaumiza Sana Wasafi

Anaposem aanasaidiwa inaingia akilini kweli wkt mtu ana kipaji chake anaimba kwa koo lake na bado anachukua 60% huo ni msaada? Akae mwenyewe basi ajisaidie
Rayvan kuondoka mondi kaumia sana na vivan ana nyota sana kuimba na maluma ile sio mchezo hata mondi aliumia sana na pale ndipo alipotengeneza mpunga mrefu sanaa
 
Sema we mzee unakomaa na hawa jamaa. Sijui Diamond alikukosea nini! Kuna wewe na yule dada mmoja humu. I can't imagine how is your life. I don't think it's a happy one. Sometimes I feel sorry for people like you.
Hahah yani unakaa hapo una-imagine maisha yangu?
Unanipangia maoni ya kutoa wewe kama nani??
Najitahidi kutafuta lugha ambayo haitakukosea heshima nakosa.
 
Kama alikuwa anawaonea wivu kwanini aliacha project zake akajikita kuwapa promotion mfano hapo kwa harmonize na Rayvanny kipindi wanatolewa diamond alikaa mwaka bila kutoa ngoma badala akawa anawapost Sana wasanii wake, akawa anasimamia shows zao na time ya nyimbo za hao madogo kupata airtime
Dogo inno ndiyo ivyo tena wcb inasambaratika 🤣🤣🤣
 
Hahah yani unakaa hapo una-imagine maisha yangu?
Unanipangia maoni ya kutoa wewe kama nani??
Najitahidi kutafuta lugha ambayo haitakukosea heshima nakosa.


Ndio, nakaa hapa na imagine maisha yako. You sound like a very sad person. Wewe binadamu gani kila siku negative tu. Watu waliokaribu na wewe kazi wanayo kwelikweli.
 
Inaonekana WCB wanaumia sana kwa wasanii kuondoka...
Na inaonekana wasanii ni chanzo kikuu cha mapato yao sana sana machawa, hivyo kuondoka kwa mtu mirija inakatwa..

Na inavyoonekana ukishatoka kule kama hijajipanga hakika utakuwa teja
 
Rayvan aliishalipa pesa zote sema mondi inamuuma coz van ndio aliingiza pesa nyingi kuliko wote pale na sasa anajua hakuna mwingine ndio maana inamuuma, na true sasa hivi anapesa kama hujui hilo kwanza meneja wake yule mzimbabwe anapesa chafu mfatilie uone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkiwadanganya watu wa FB inatosha, vanny yupi mwenye pesa chafu?? Nacheka km mwehu lol.
 
Ni mwaka upi diamond hakutoa nyimbo😁
Kama alikuwa anawaonea wivu kwanini aliacha project zake akajikita kuwapa promotion mfano hapo kwa harmonize na Rayvanny kipindi wanatolewa diamond alikaa mwaka bila kutoa ngoma badala akawa anawapost Sana wasanii wake, akawa anasimamia shows zao na time ya nyimbo za hao madogo kupata airtime
 
Mboso alisemaga hata iwaje hawezi toka WCB

Sasa mondy ataimba na nani tena..zaidi ya mboso na zuchu🤔
 
Kweli Tanzania dhiki imetulemaza akili....yaani mtu anaweza kukuita umchimbie shimo la choo alafu akakulipa anachotaka yeye....kisa tu ulikuwa umekaa tu kijiweni huna ishu kwa hiyo kukuchimbisha shimo la choo na kuvuja jasho mpaka makalioni ni alikuwa anakusaidia tu......,

Una uwezo wa kukataa mana hakushikii bunduki ili ukubaLi [emoji2217]
 
Rayvanny anataka mshtaki Mondi kwa Samia na ishu ipo kwa Mchengelwa.

Kwenye public ana act anatoka kwa wema ila nyuma ya pazia bora Harmonize.

Nilikuwa naskiaga tu wanyakyusa sio watu sasa ndio nimeamini

THT wamekukataa
Tiptop wamekukataa
Yamoto wamekukataa
Wasafi ikakugeuza supastaa leo unaongea shombo eti Mondi alikuwa anakunyanyasa alikuwa hakupi superstar treatment...umejenga nyumba nne ukiwa Wasafi na unatembelea V8 unataka upate nini au uwe Mondi?
Unazingua , mikataba ya zuruma haihitajiki, mzurumu mtoto akiwa mdogo na haelewi kitu, Sasa mtu anaanza kutapeli mpaka watu waliokuwa kimuziki
 
Back
Top Bottom