Rayvanny, mrithi wa Ngwea kwenye freestyle

kijanamtanashati

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2014
Posts
516
Reaction score
905
jamaa anajua kufreestyle sioni wa kumfananisha nae kwa sasa labda nimfananishe na marehem ngwea na nathububu kusema huyu ndo mrithi wa ngwea kwenye freestyles, fid q na wenzake hawaingizi maguu kwa jamaa. jamaa akiamua afanye hip hop akina fid q inabidi wakasomee mana jamaa si mchezo japo simshauri afanye hiphop asije kufa maskin.

 
Bila shaka huyu ni Hance na backup id yake,anyway kama jamaa ndo mkali kwny freestyl inabidi sisi kama taifa tuweke nguvu nyng huu upande km kwny suala la elimu
mkuu hance na mimi ni watu wawili tofauti
 
baada ya ngwair ni godzilla then mbishi sasa nyie maboya mnamuweka mbana pua kwa wanaume utakuwa huujui muziki
 
kauli ya ki wack kuwahi kutoka kwako. Hii ikiangaliwa serious inaitwa disrespect to the giants aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…