Rayvanny, mrithi wa Ngwea kwenye freestyle

Rayvanny, mrithi wa Ngwea kwenye freestyle

Mbona yeye Mangwea aliacha wosia kuwa pengo lake halina Spea wewe ni nani wa kumbishia
 
RIP Ngwea...
Jina lako naona kuna watu wanaanza kulitumia vibaya huku..
 
Kama hakuwa ameitunga baadhi ya maneno basi yuko vizuri sana. Atupie song mbili tatu za kurap. Nilisemaga ray atamuacha harmonize kasimama tu hapo
 
Rayvanny ni rapa mzuri tu ,anaweza freestyle tena ile ya Battle, ila Ngwea namba nyingine
 
jamaa anajua kufreestyle sioni wa kumfananisha nae kwa sasa labda nimfananishe na marehem ngwea na nathububu kusema huyu ndo mrithi wa ngwea kwenye freestyles, fid q na wenzake hawaingizi maguu kwa jamaa. jamaa akiamua afanye hip hop akina fid q inabidi wakasomee mana jamaa si mchezo japo simshauri afanye hiphop asije kufa maskin.


anatisha sana dogo
 
Eti Fid Q akae u r not serious aki ya nani tena",..
poa Fid akae,.. Zilla,Stamina Young killer
José mtambo hihihi au freestyle ina maana nyingine

yote Tisa *Albert aka Ngwea aka Mimi the simple man* uyu freestyle sina jina la kumpa
 
... We jamaa... hebu Acha kumfananisha Late Albert Mangweha ( Ngwair ) na vitu vya kijinga ....
 
Hii post ni tusi zito sana kwa marehemu Albert Mangwea. Na pia ni kuwakosea heshima vijana wa Tamaduni muziki kwa upande wa mitindo huru na kucheza na maneno
 
Tatizo lenu ni kutaka kumlinganisha au kumshindanisha na watu wengine...muacheni afanye mziki wake kama ana kipaji basi kitaonekana

haya mambo ya kumlinganisha na fulani ndio yanatengeneza uadui.Bado kijana mdogo ajafanya ngoma yoyote ya Rap ila ushaanza kumlinganisha na legends kama Fareed na late Ngwea ambao ni watu walioweka misingi ya mziki huo anaofanya
 
Eti Fid Q akae u r not serious aki ya nani tena",..
poa Fid akae,.. Zilla,Stamina Young killer
José mtambo hihihi au freestyle ina maana nyingine

yote Tisa *Albert aka Ngwea aka Mimi the simple man* uyu freestyle sina jina la kumpa

Kama hujui Hiphop bora kukaa kimya,stamina seriously?[emoji15]
 
Back
Top Bottom