-live Wire
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 375
- 192
Hapana siijui, mkuu embu nidarasishe iyo Hip hop unayoijua ww
sasa stamina na Ray vanny yupi anayejua hapo"Hip Hop,..
Acha mikurupuo iyo mwananchi",...!!
watanzania wanafiki sana!Wabongo kwa kupenda waliokufa mmeshindikana
Hakuna zaidi ya mbishi labda ambae sikuwahi msikiaHata Nikki mbishi analitambua Hilo ,zilla Ni tishio Sana ,akitoka zilla Ni mbishi
Mangwea alikuwa anaweza kufreestyle but alikuwa not genius wa freestyle kama alivyo nikk au lufunyo. Sema sijawahi shuhudia battle ya Mangwea na nikk ila ya mkiristo na Mangwea nilishawahi.achene unafiki au kwa vile ngwea amekufa ndo mnajitia kumpaisha, jamaa anaweza na ndio mrithi wa ngwea msisubiri mpaka mtu afe ndo mumsifie!
Mangwair quotes"Pengo langu halina spair"Raynavy yuko poa kama hatobweteka, ila kumlinganisha na Ngwea hiyo ni dharau.Ngwea ni Ngwea hakuna Ngwea mwingine, he was the best at his level.
Tamaduni wapo vizuri but kinachowaponza ni kushikiria misingi. Wanalishana chuki dhidi ya wadau wa muziki.Hii post ni tusi zito sana kwa marehemu Albert Mangwea. Na pia ni kuwakosea heshima vijana wa Tamaduni muziki kwa upande wa mitindo huru na kucheza na maneno
Zinatafutwa team hapa.Tatizo lenu ni kutaka kumlinganisha au kumshindanisha na watu wengine...muacheni afanye mziki wake kama ana kipaji basi kitaonekana
haya mambo ya kumlinganisha na fulani ndio yanatengeneza uadui.Bado kijana mdogo ajafanya ngoma yoyote ya Rap ila ushaanza kumlinganisha na legends kama Fareed na late Ngwea ambao ni watu walioweka misingi ya mziki huo anaofanya
Hivi lufunyo ni producer au artist.Hakuna kama nikk mbishi kwa freestyle bongo lufunyo ilikuwa ni nyota tu but mbishi is illiest aseeh
Nicas marwa ni sheeda chamKuna Hashim Dogo pia jamaa mmoja wa kuitwa Nickas John aka Nick Mbishi.
Huyu alikuwa konda wa haice sjui yupo wapi siku hizi mkuu.....but yale mashindano ya clouds ya freestyle jamaa alichukua . Alimbattle mbishi mbele ya fettyHivi lufunyo ni producer au artist.