One moment
Senior Member
- Oct 22, 2016
- 108
- 114
Kwasababu Chid Benz anakula madawa ya kulevya nn? Naona watu wengi hawampi credit zake King Kong...Hakuna zaidi ya mbishi labda ambae sikuwahi msikia
Albert atabaki kuwa Albert katika kizazi hiki hakuna kama yeye katika MITINDO HURU....jamaa anajua kufreestyle sioni wa kumfananisha nae kwa sasa labda nimfananishe na marehem ngwea na nathububu kusema huyu ndo mrithi wa ngwea kwenye freestyles, fid q na wenzake hawaingizi maguu kwa jamaa. jamaa akiamua afanye hip hop akina fid q inabidi wakasomee mana jamaa si mchezo japo simshauri afanye hiphop asije kufa maskin.
Hivi ni Lufunyo au Lusajo!?Hakuna kama nikk mbishi kwa freestyle bongo lufunyo ilikuwa ni nyota tu but mbishi is illiest aseeh
Wapi ulipomsikia Fid Q aki-freestyle...usije kuchanganya nyimbo zake ambazo bado ajazitoa na free style mkuu na usidhani kila mkali wa rap anaweza kufanya style style ndio maana watu kama Joh Making,Sugu au Professa Jay sio wakali wa freestyle kabisa...Hapo kwenye Fid Q ungekuwa umefanya japo la busara kama ungemuweka Japo Chid BeenzNimepitia comment zote ila sijaona jina la kijana aliyefunga ndoa jana
*MABESTE*
Alikuwa rafiki wa mangwea
Listvya freestyle yangu hii hapa
*MANGWEA*
*KING ZILA*
*MABESTE*
*NIKI MBISHI*
*FID Q*
alichukua kwasababu ya kelele za wahuni ,ila kiukwele,hakuwa na style..nakumbuka hiyo fainali walifanyia coco kama unamaanisha yule kijana yule Sajo aliyeshindaHuyu alikuwa konda wa haice sjui yupo wapi siku hizi mkuu.....but yale mashindano ya clouds ya freestyle jamaa alichukua . Alimbattle mbishi mbele ya fetty
wapi ulipomsikia Songa aki-freestyle?!Baada ya Ngwair ni Songa
yule alikuwa sajo,kiukweli hakuwa anaweza,alibebwa na vijana waliotoka kinondoni kumshangiliaHivi ni Lufunyo au Lusajo!?
naona jamaa ameng'ang'ania Lufunyo Lufunyo....Kwangu Lusajo alijitaidi tu hakuwa na kiwango kama hicho ambacho jamaa amejaribu kumpamba...yule alikuwa sajo,kiukweli hakuwa anaweza,alibebwa na vijana waliotoka kinondoni kumshangilia
For sure mkuu.. but nikk mbishi is the best aseeh bongo sijaona. But siku hizi anastress na mzikialichukua kwasababu ya kelele za wahuni ,ila kiukwele,hakuwa na style..nakumbuka hiyo fainali walifanyia coco kama unamaanisha yule kijana yule Sajo aliyeshinda
Songa hawezi freestyle. Ila ni storyteller mzuri ukisikiliza track zake kama utaona maufundi yake.wapi ulipomsikia Songa aki-freestyle?!
Kwangu Songa ndio mkali wa Rap za simulizi wenyewe wanaita Story Teller ila si mkali wa freestyle kabisa jamaa hana kipaji iko kama anacho2labda unajua peke yako.
Tofauti ya nikk na rappers wengine.Kwasababu Chid Benz anakula madawa ya kulevya nn? Naona watu wengi hawampi credit zake King Kong...
Nadhani Chid benz akiacha mambo yake ya ajabu anaweza kuwa bingwa wa Mitindo Huru...
Mangwea anapewa 1. Kumzidi nikk kwa lipi?Nimepitia comment zote ila sijaona jina la kijana aliyefunga ndoa jana
*MABESTE*
Alikuwa rafiki wa mangwea
Listvya freestyle yangu hii hapa
*MANGWEA*
*KING ZILA*
*MABESTE*
*NIKI MBISHI*
*FID Q*
Mbona Unanitajia wavuta bange tena mkuu!?Songa hawezi freestyle. Ila ni storyteller mzuri ukisikiliza track zake kama utaona maufundi yake.
Picha
Ndege
Mwanga
But mkali no 1 kwa storytelling bongo aseeh ni mbwa.
Sikiliza nyokaa
Kingkola
Tumboni
Dogg danger( this is the best)
Ewaa chief hapo tupo siti mojaaa",.. Nimeelewa sasaSio mikurupuko mkuu,kumleta rayvany kwa uzi unaohusiana na Hiphop Ni kosa kubwa Sana maana hata wengine ulio jaribu wafananisha Na wana Hiphop hawafanani Na Hiphop
"Dunia Tambara bovu Ila nalidekia kwa shida,maisha Ni magumu Na solve bila kutumia four figure" stamina hiyo kwako Ni Hiphop ??sijataka ongelea rayvany kwakua sihitaji hata kufahamu anachofanya maana hakipo kwenye misingi hata ya nguzo moja ya Hiphop .