WCB ni kundi la vijana wakike kwa waume kww jumla wanahesabika kama 13.
Kwa upande wa waimbaji wa muziki wanatambulika kama 7.
Mtayarishaji wa muziki wa WCB ni laizer au anaweza akawa luffa.
mbunifu wa WCB ni Qboy msafi.
Pia kuna dj ambaye ni romy jones.
Bila kuwasahau babu tale na sallam s.k
Hii ndiyo WCB ambayo inamilikiwa na diamond platnumz.
Kwa upande wa vijana mahiri wa wcb.
Kuna ray vanny ambaye mara nyingi ni msanii ambaye anaweza kumiliki jukwaa na kuitumia sauti yake vyema ikiwa pamoja na nyimbo nzuri anazoimba kwa ubunifu na ustadi wa hali ya juu.
Hakika naweza kusema ray vanny ni bora zaidi ya harmonize.
Harmonize anafanya mziki mzuri lakini amekosa ubunifu,
WCB nzima kwa upande wa waimbaji wameonekana kuimba kwa kuigana sauti, kama bosi wao diamond platnumz isipokuwa watu wawili tu, ambao ni Queen darling, na Mr. Lava lava.
Hicho ndicho kinacho shusha muziki mzima wa WCB wasafi.
Lakini nikiri ray vanny ni bora zaidi akifuatia Mr.lava lava na diamond platnumz.