Rayvanny nakueleza "mchumba hasomeshwi"

Polee sana.
 
Anapewa hela na passion java,mzimbabwe
 
Shida ulisaidia ukataka kulipwa FADHLA [emoji16][emoji16]
 
Usithubutu kumsaidia mwanamke
Ni kiumbe chenye roho ngumu na mbaya sana sana
Nimejifunza mengi kupitia yule Dada


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Lakini na yeye si alishakusaidia ulichokitaka ndio ukampatia kazi?
Mbona kusumbuana na malipo tayariπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mwanamke ni kiumbe kisicho na akili na shukrani.

Tabia mbaya za wanawake zinayonikera ni dharau (ukionyesha kumjali na kumpenda), na kutoonyesha ushirikiano.

Shukrani inatakiwa itolewe mara ngapi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mmh alivo changamka inaonekana kapewa keshi. Maana huyo jamaa wa ovyo tu sema pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…