Rayvanny nakueleza "mchumba hasomeshwi"

Rayvanny nakueleza "mchumba hasomeshwi"

WCB kama hakuna mlezi wa kuwapa mawazo ya kimaisha kuhusu huko mbele mtakuwaje na pesa zenu basi.

Huyu kijana Rayvan jambo ulilolifanya kujitosa mpaka kumpeleka nje mchumba.

Nimekuonea huruma kwa hayo yanayosikika mtaani sijui jina linaitwa connection
Mwenye connection pliz
 
Nilimtafutia tu mwanamke kazi baada ya kuona amesoma uhasibu Arusha alafu ameajiriwa na Mama Ntilie kuzungusha chakula mtaani
Nikawa nimempenda nikamtongoza akanielewa
Nikamuonea huruma nikamuombea kazi na nikamdhamini
Nikakaa muda kidogo siku hiyo nampigia simu kaniuliza `Wewe ni nani eti'
Nikamjibu vizuri tu mimi mtu flani
Akajibu ahaa ....Ngoja nitakupigia
Nikakata
Hakunitafuta. Baada ya wiki hivi nikamtumia text Vipi ni wewe ..... Au ni mwingine mbona umebadilika sana?
Akanijibu Mwanamke ni ngumu sana kutoboa. Hivyo tu mpaka Leo hatajawasiliana Tena Bali nikifika pale ofisini namkuta nafanya nilichonipeleka hataki mazoea kabisa

Usithubutu kumsaidia mwanamke
Ni kiumbe chenye roho ngumu na mbaya sana sana
Nimejifunza mengi kupitia yule Dada

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Asante umeniongezea kitu
 
Unajua nilimpenda na nikamtongoza kabla ya kumtafutia kazi
Baada ya hapo nikaona ngoja nimtoe kwenye hii shida kwanza ajisikie vizuri
Baba kumbe ndio nimeharibu
Nilimlipia Hadi Kodi ya nyumba ya kuanzia maisha Ili akae karibu na maeneo ya kazini
Imeniumiza hii kitu sana hujajua tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Aiseee pole
 
WCB kama hakuna mlezi wa kuwapa mawazo ya kimaisha kuhusu huko mbele mtakuwaje na pesa zenu basi.

Huyu kijana Rayvan jambo ulilolifanya kujitosa mpaka kumpeleka nje mchumba.

Nimekuonea huruma kwa hayo yanayosikika mtaani sijui jina linaitwa connection
Ukisikia MTU kapigwa t#k@ mbili ndo Ile connection sasa.. yani DK 1 sec 28 jamaa kashamaliza michezo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajua nilimpenda na nikamtongoza kabla ya kumtafutia kazi
Baada ya hapo nikaona ngoja nimtoe kwenye hii shida kwanza ajisikie vizuri
Baba kumbe ndio nimeharibu
Nilimlipia Hadi Kodi ya nyumba ya kuanzia maisha Ili akae karibu na maeneo ya kazini
Imeniumiza hii kitu sana hujajua tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
The fall of every great man is a woman. Pole sana chief
 
Ukisikia MTU kapigwa t#k@ mbili ndo Ile connection sasa.. yani DK 1 sec 28 jamaa kashamaliza michezo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hizo DK 1 sec 28 jamaa kajitahidi Sana.

Kwa Paula alivyo mrembo sec 20 Sawa na tako 1 na 1/2 ,
Zinatosha kupata goli la kuongoza.

Ukisubiri raudi ya 2..

Kama Una connection ni tumie pm tafadhali mkuu .
 
Paula sio kwa uno lile woiiiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom