Nilimtafutia tu mwanamke kazi baada ya kuona amesoma uhasibu Arusha alafu ameajiriwa na Mama Ntilie kuzungusha chakula mtaani
Nikawa nimempenda nikamtongoza akanielewa
Nikamuonea huruma nikamuombea kazi na nikamdhamini
Nikakaa muda kidogo siku hiyo nampigia simu kaniuliza `Wewe ni nani eti'
Nikamjibu vizuri tu mimi mtu flani
Akajibu ahaa ....Ngoja nitakupigia
Nikakata
Hakunitafuta. Baada ya wiki hivi nikamtumia text Vipi ni wewe ..... Au ni mwingine mbona umebadilika sana?
Akanijibu Mwanamke ni ngumu sana kutoboa. Hivyo tu mpaka Leo hatajawasiliana Tena Bali nikifika pale ofisini namkuta nafanya nilichonipeleka hataki mazoea kabisa
Usithubutu kumsaidia mwanamke
Ni kiumbe chenye roho ngumu na mbaya sana sana
Nimejifunza mengi kupitia yule Dada
Sent from my Infinix X650 using
JamiiForums mobile app