Rayvanny nakueleza "mchumba hasomeshwi"

Rayvanny nakueleza "mchumba hasomeshwi"

Mkuu kama uliamua kumsaidia sasa unamganda ganda wa nini chief.Ofcz imenisikitisha lakin for ur own safety ukimsaidia mtu (regardless mwanaume au mwanamke) bas temana nae acha ka bisa kum tail..Labda mwenyewe akukumbuke na hiyo inatosha kumsoma akl yake.Pole sana ila usiache kusaidia.WHAT HURTS PEOPLE NI EXPECTATIONS
Expetation. Lakin watu wanasahau hao wanao wasaidia nao wana malengo yao na maisha yao. So maamuzi watakayo chukua completely ni kuwanufaisha wao si ww.

So ukimsaidia mtu usisubirie asante. Other wise ni kuwa makini na mtu unae msaidia. Mchunguze kwanza kabla hujampa mtu mkono
 
WCB kama hakuna mlezi wa kuwapa mawazo ya kimaisha kuhusu huko mbele mtakuwaje na pesa zenu basi.

Huyu kijana Rayvan jambo ulilolifanya kujitosa mpaka kumpeleka nje mchumba.

Nimekuonea huruma kwa hayo yanayosikika mtaani sijui jina linaitwa connection
Yaani anaingilia jukumu la P Funk kumsomesha?
 
Nilimtafutia tu mwanamke kazi baada ya kuona amesoma uhasibu Arusha alafu ameajiriwa na Mama Ntilie kuzungusha chakula mtaani
Nikamuonea huruma nikamuombea kazi na nikamdhamini
Nikakaa muda kidogo siku hiyo nampigia simu kaniuliza `Wewe ni nani eti'
Nikamjibu vizuri tu mimi mtu flani
Akajibu ahaa ....Ngoja nitakupigia
Nikakata
Hakunitafuta. Baada ya wiki hivi nikamtumia text Vipi ni wewe ..... Au ni mwingine mbona umebadilika sana?
Akanijibu Mwanamke ni ngumu sana kutoboa. Hivyo tu mpaka Leo hatajawasiliana Tena Bali nikifika pale ofisini namkuta nafanya nilichonipeleka hataki mazoea kabisa

Usithubutu kumsaidia mwanamke
Ni kiumbe chenye roho ngumu na mbaya sana sana
Nimejifunza mengi kupitia yule Dada

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Mbona huyo mwanamke Hana kosa? Ulitaka akulambe makalio au?
 
Tatizo mnasaidia mkiwa na expections za kuja kumgaragaza baadae.
 
Unajua nilimpenda na nikamtongoza kabla ya kumtafutia kazi
Baada ya hapo nikaona ngoja nimtoe kwenye hii shida kwanza ajisikie vizuri
Baba kumbe ndio nimeharibu
Nilimlipia Hadi Kodi ya nyumba ya kuanzia maisha Ili akae karibu na maeneo ya kazini
Imeniumiza hii kitu sana hujajua tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
usikute yupo uliempiga kibuti. akawa anakulilia hadi kapoa now we ndowaanza kufotoa makamasi 😁😁 that is KARMA enjoy. ya karma mkuu😁😁
 
Basi sawa kama ni yeye huenda ya zamani.. watajuana wenyewe.. video ya dk ngapi?
Usupastaa ni uchizi. Pamoja na background mbaya ya Paula na ile XXX video ya zamani, lakini Rayvanny kajitosa tu hivyohivyo.
 
Nilimtafutia tu mwanamke kazi baada ya kuona amesoma uhasibu Arusha alafu ameajiriwa na Mama Ntilie kuzungusha chakula mtaani
Nikamuonea huruma nikamuombea kazi na nikamdhamini
Nikakaa muda kidogo siku hiyo nampigia simu kaniuliza `Wewe ni nani eti'
Nikamjibu vizuri tu mimi mtu flani
Akajibu ahaa ....Ngoja nitakupigia
Nikakata
Hakunitafuta. Baada ya wiki hivi nikamtumia text Vipi ni wewe ..... Au ni mwingine mbona umebadilika sana?
Akanijibu Mwanamke ni ngumu sana kutoboa. Hivyo tu mpaka Leo hatajawasiliana Tena Bali nikifika pale ofisini namkuta nafanya nilichonipeleka hataki mazoea kabisa

Usithubutu kumsaidia mwanamke
Ni kiumbe chenye roho ngumu na mbaya sana sana
Nimejifunza mengi kupitia yule Dada

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Saww umeamua kumsaidia mtu sasa ulikua unataka nn tena kwake?ulikua unamtaka au
 
Nilimtafutia tu mwanamke kazi baada ya kuona amesoma uhasibu Arusha alafu ameajiriwa na Mama Ntilie kuzungusha chakula mtaani
Nikamuonea huruma nikamuombea kazi na nikamdhamini
Nikakaa muda kidogo siku hiyo nampigia simu kaniuliza `Wewe ni nani eti'
Nikamjibu vizuri tu mimi mtu flani
Akajibu ahaa ....Ngoja nitakupigia
Nikakata
Hakunitafuta. Baada ya wiki hivi nikamtumia text Vipi ni wewe ..... Au ni mwingine mbona umebadilika sana?
Akanijibu Mwanamke ni ngumu sana kutoboa. Hivyo tu mpaka Leo hatajawasiliana Tena Bali nikifika pale ofisini namkuta nafanya nilichonipeleka hataki mazoea kabisa

Usithubutu kumsaidia mwanamke
Ni kiumbe chenye roho ngumu na mbaya sana sana
Nimejifunza mengi kupitia yule Dada

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa kweli yamekukuta et wew Nani we bas tu mnk huna ushawish mnk ungeongea na boss amzimamishe kdg akili c mkae sawa
 
Back
Top Bottom