Rayvanny ndio Mangwea wa kizazi hiki cha muziki

Data and numbers don't lie

Mkuu ebu kuwa specific unavyosema data na numbers, which algorithms are you reffering to ? Kama ndio numbers tu mnaangalia basi soulja boy ni mkali kuliko hata diamond right ? manake ni mkali kuliko msanii yeyote tanzania si ndio ? ana platnum selling singles and he is richer than any artist in Tz sasa me sidhan kama anamzid diamond uwezo kwene mziki, ila tu mazingira ndio yamembeba...
 
Endelea kukaza fuvu
Facts don't lie kama hips tu....na kitu kizuri kuhusu ukweli ni kwamba hata usipokubaliana nao au ukakubaliana nao wenyewe utabaki pale tu.

" Coz mi ni mi hatuwezi kuwa pair,na hata nikifa leo pengo langu halina spare" (Ngwair..120)

Hiyo line hapo juu bado ipo valid to date.
 
Hzi mindset ndo zilimfanya Ngwear akafa kwenye ufukara mkubwa
 
Hivi wakati kina Jaydee, Juma Nature, C pwaa waingia tuzo Channel O na nyimbo zao kupigwa MTV Base Ngwair alikuwa wapi?
Tatizo letu watanzania ni wanafki na washirikina sana. Ngwair toka akiwa hai sijawahi sikia anaitwa msanii mkali kutokea Bongo na hajawahi kuwa hata top 5 ya hao wasanii wakali wa kipindi chake.

Tuache unafki wa kujidai tunawapenda sana marehemu, wakati wakiwa hai hawapati sifa hizo.

SIMFANANISHI RAYVAN NA HUYO MAREHEMU, LAKINI KUJIDAI HATUKUBALI UWEZO WA RAYVAN NI KUUKOSEA HESHIMA MUZIKI WA TANZANIA.

Nimalizie kwa kusema MITANO TENA.
 
Right now, Albert Mangwea is turning in his grave!
 
ukipinga pinga kwa fact siyo bora umepinga haileti maana.
 
mbona huyo demu ana ndevu
 
Unasemajeeeeeeee!!!!!!!


Tema mate chini mleta uzi.
Usimfananishe cowboy na vitu vya kipumbavu,ingawa mimi ni die hard fan wa WCB
Rayvanny ni living legend usimuite mpumbavu. jiheshimu
 
Sidhani kama Tanzania tutapata Ngwair mwingine.

Toka Bongo muziki uanze, hakuna msanii aliyetoa album unayoweza kusikiliza nyimbo zote isipokuwa Ngwair.
zipo album kibao ambazo uwezi skip acha kukuza vitu
 
rayvanny ana tuzo ya BET, ngwea ana tuzo gani? kulikuwa na kola, chanel o

msitake tufike huko jamani nilichosema wote wakali kuna angle nyingi wanafanana sijashindanisha
 
Mbwa mmoja wewe usimfananishe ngwear na vitu vya kijinga kecheze na paula huko kunguni wewe[emoji21]
maneno kama haya uwa yanatumiwa na watu wanaopakatwa, acha michezo yako ya kushika ukuta mara moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…