Rayvanny ndio Mangwea wa kizazi hiki cha muziki

Rayvanny ndio Mangwea wa kizazi hiki cha muziki

Haya nyie mnalinganishaje? tutumie data zenu kama vip , hzo hzo za old era ambapo hakukuwa na sportfy , sjui apple na wala YouTube , hzo hzo kwenye single na album tutembee nazo..., hatukatai Ngwear alikuwa mkali lakini kusema Vannyboy ni takataka Kwa ngwear ha ha haaaaaa....data zikimwagika hapa mbona Ngwear tunamuweka kwenye dustbean......tunarushiana maneno makali bila statistics zozote , tunaposema Mbape huwez kumlinganisha na Messi kitacholetwa ni data ya kila mmoja na sio mahaba ...... Mana nimeona wengi humu watu wazima lakini akili bado zipo kwenye fridge tena kwenye freezing point.....
Fact kamanda wataelewa tu, numbers don't lie
 
Unataka data gani mkuu ? data ndio ushahidi ? sijaelewa , where do i get those data ? how do i compare them ? Ukitaka uwiano wa data hapo ngwair atashinda sababu kuna kitu hujaenda sana deep, tukitaka tulete uwiano wa data za huko kwene mainternet ni lazima tuangalie na revolution ya internet yenyewe na Muziki ngwair kaanza siku nyingi na platform nyingi za kuutambulisha mziki zimeanza 2007 kwenda juu, yan hebu angalia hizi platform unazozitegemea tukachukue data zimeanza lini

2015 apple music started,
spotify ya wasweden imeanza 2006,
tidal imeanza 2014,
you tube 2005,
boom play imeanza 2015..

Na kilicholeta mapinduzi ya kweli ni ANDROID sasa imeanza lini ? September 23, 2008 so ebu fikiria mkuu, hiz platform zote wakati zinaanza NGWAIR ALIKUWA ASHAWASHA SANA MOTO NA CASSETTES alikuwa tayari ana album zinafanya vizuri, kina rayvan wanaimba kweli ila washukuru sana technolojia mkuu
Data and numbers don't lie
 
Acha kumtukana marehemu Ngwair kwa kumfananisha na huyo Vanny boy ambaye hatujui kipaji chake nje ya WCB kitakuwaje....ukweli mchungu ni kwamba alivyokufa Ngwair aliyebaki anamkaribia ni mkurungwa wa kuitwa Nyanshiski tu hapo +254,over...Kwanza Ngwair hajawahi kuwa mkata viuno ili kuwa Ngwair.
Endelea kukaza fuvu
 
Sidhani kama Tanzania tutapata Ngwair mwingine.

Toka Bongo muziki uanze, hakuna msanii aliyetoa album unayoweza kusikiliza nyimbo zote isipokuwa Ngwair.
 
Back
Top Bottom