Rayvanny ndio Mangwea wa kizazi hiki cha muziki

Rayvanny ndio Mangwea wa kizazi hiki cha muziki

Huyo Rayvann ndiyo wakumfananisha na Ngwea?? Hebu acheni dharau basi! Ngwea ni moto wa Petrol na Ranvany ni moto wa mabua! Tafuta track tano za Ngwea, then tafuta track tano za Rayvann uone nani anachana! Huwezi pambanisha mabondi wanaozichapa kwenye weight tofauti! Heavy weight hawezi zichapa na middle weight! Usiku mwema
Acha kukaza fuvu
 
Huyo vanny wako ni fundi sawa, ila sio kumlinganisha na Cowboy,
Jaman muwage waelewa, hatutaki kuwafananisha wasanii ambao hawa match, yaan mkipewa bundles sijui akili zenu huwa zinahama lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawamatch kivipi...???
 
Wakati Ngwair anaimba muziki wa Tz ulikuwa haujapenetrate sana nje ila japokuwa amerest in Peace mangwair alikuwa na hitsongs nyingi kuliko ray van na kusema ukweli Mangwea was talented kuliko vany boy..
Moja ya reply Bora kabisa , haya ndo maneno sasa , sasa wengine wanakuja na matusi , hana data , Hana hoja ni kutukana tuu...mkuu umejibu vyema sana
 
Mikasi
Mademu zangu
Nipeni dili
She got gwang.
Rayvanny hajawahi na hatokuja miliki hitsongs kama hizo
Hitsong za Ngwear hapo ni mbili Tu ambazo somehow nchi ilisimama ... Nipeni dili masela na mikasi , number one ya vanny boy inamatch hapo ..... In the middle of modern era number one inajitetea yenyewe
 
Wakati Ngwair anaimba muziki wa Tz ulikuwa haujapenetrate sana nje ila japokuwa amerest in Peace mangwair alikuwa na hitsongs nyingi kuliko ray van na kusema ukweli Mangwea was talented kuliko vany boy..

Mkuu utaumiza kichwa chako bure maana mtu anaelinganisha wasanii type tofauti kama Vanny na Ngwair, bado akang'ang'ana na kutumia data za Youtube na spotify lazma kuwe kuna tatizo sehemu
 
Ni kweli mkuu,ila kumfananisha huyo dogo na legendary Ngwair ni kumkosea heshima kabisa mzee wa eastzoo,jamaa alikuwa anajua sana ila sema basi tu daah tusije kukufuru,gone too soon
Yeah but WCB hatunaga Tabia za kuwapondea wasanii wetu sawa au hautaki nikuunge kwenye group la DIE HARD FANS WA WA WCB.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu ndo msanii bora kwa wanaume ninayemkubali kwa sasa kila siku ngoma kama
[emoji117]Unaibiwa
[emoji117]EX boyfrend
[emoji117]Vumilia
[emoji117]Naogopa
[emoji117]Pochi nene
[emoji117]Number one
[emoji117]Teamo

Nk huwa nasikiza sana
Amna kitu apo
 
Umemwelewa lakni we totooo, ha ha haaaa anamanisha hvi style aliyokuwa anaimba Ngwear pia vanyboy anaweza kuimba , Ila kuna style za Vannboy Ngwear anachemsha mfano hyo singeli , Vannboy anapita fresh Ila Ngwear lazima aning'inie
Ngwea asingeweza kuimba ujinga kama huo...kwanza singel hamna kuumiza kichwa wala nn.hata bubu tu anaimba.ngwea ana flow za kinyama sio takataka kama za ray
 
Moja ya reply Bora kabisa , haya ndo maneno sasa , sasa wengine wanakuja na matusi , hana data , Hana hoja ni kutukana tuu...mkuu umejibu vyema sana
Data ndiyo Nini bana unapofananisha punda na farasi tutaishia tu kukudharau hata kukutukana ikibidi, tutakuwa hatuna kazi na huo mda wa kukuelewesha ni jinsi gani farasi ni farasi na punda atabaki kuwa punda tu
 
Okey naona mnatokwa povu Sana Vanyboy kufananishwa na Ngwear , bas tupeni data za Ngwear na mafanikio yake ambayo mpak Vannyboy aonekane taka taka mbele yake .... Wabongo tupo vizur Sana kukikuza kilichopita na kutokikubali tulicho nacho ....

Wengi hapa mnacomment kinafk , wengine hata Ngwear hammjui Ila bas tu muonekane mnajua ...haya mwageni data basi Kwenye Nyanja zifuatazo ....
1/Uwezo wa kuimba aina tofaut za kuimba eg Hip hop, RB, rhumba, slow, n.k
2/Kiwango cha kupenya soko la kimataifa
3/ Tuzo alizochukua kitaifa na kimataifa
4/International collaboratin
5/Mauzo ya albam au single
6/Popularity ndani na nje ya nchi
N.K....
Leteni data za Ngwear bas ......

hapa ndo ulipofeli, unaongelea tuzo na kupenya soko la kimataifa kipindi cha kina Ngwea!?
Kipindi ambacho mtandao uliokuwa unatamba bongo ni BBM pekee!?
Generation ya tape unalinganisha na kipind hiki cha online, hii haiwezi kuwa sawa.

Kuna msanii bongo hii anaeweza kuimba Aina tofaut tofauti za miziki kumzidi Sir Nature? Na alichukua tuzo ya Chanel O akiwa msanii wa kwanza kibongo bongo, unazan ilikuwa rahis miaka ile.!?
Mnatumia kigezo gani kuwalinganisha wale wasafisha njia na hawa wa Sasa!
 
Huyu ndo msanii bora kwa wanaume ninayemkubali kwa sasa kila siku ngoma kama
[emoji117]Unaibiwa
[emoji117]EX boyfrend
[emoji117]Vumilia
[emoji117]Naogopa
[emoji117]Pochi nene
[emoji117]Number one
[emoji117]Teamo

Nk huwa nasikiza sana
'She got a gwan' inameza zote hizo kwa mkupuo mmoja
 
Huyu ndo msanii bora kwa wanaume ninayemkubali kwa sasa kila siku ngoma kama
emoji117.png
Unaibiwa
emoji117.png
EX boyfrend
emoji117.png
Vumilia
emoji117.png
Naogopa
emoji117.png
Pochi nene
emoji117.png
Number one
emoji117.png
Teamo

Nk huwa nasikiza sana
Kuna wimbo unaitwa mama ameimba na Mr. Blue Bayser ni noma sana lile pini jinsi walivyopangilia vile vina na hiyo beat inavyodunda balaa sana, ukisikiliza kwenye mziki mnene unaweza ruka kichaa. Wimbo umesimamia kucha ni kwa kweli
 
Yeah but WCB hatunaga Tabia za kuwapondea wasanii wetu sawa au hautaki nikuunge kwenye group la DIE HARD FANS WA WA WCB.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana kwenye ukweli kama huu lazima ukweli usemwe,ila wangekuja wale wazushi wasiomtakia Mondi mema,wenye wivu na mafanikio yake hapa ndio ningeuwasha moto kumtetea kama mdogo wangu wa tumbo moja vile
 
Back
Top Bottom