Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani una miaka 14?Ngwea hamna kitu usifananishe Chui na wasanii wa ajabu
Mada ya vinuka boksa, 😂😂😂 huyo mrembo mwenzenu hafikii hata nusu ya kipaji cha ngwea
Wewe usifananishe huo uchafu na marehum Albert.
Kufananisha huyo kiumbe na Ngwair ni matumizi mabaya ya UFANANISHO. Umekosea tasnia ya muziki Tanzania.
Mnajaza upepo yaan Albert mangwea unamkompeya na Nyumbu
Okey naona mnatokwa povu Sana Vanyboy kufananishwa na Ngwear , bas tupeni data za Ngwear na mafanikio yake ambayo mpak Vannyboy aonekane taka taka mbele yake .... Wabongo tupo vizur Sana kukikuza kilichopita na kutokikubali tulicho nacho ....Leo ...mnakunywa double kick then mnaanza kumfananisha Ngwear na na Maboya waimba matusi na nyegezi ....wabongo mnaokunywa Gongo. Na kimpimu mmepagawa.
Nonsense, sijaisoma hataOkey naona mnatokwa povu Sana Vanyboy kufananishwa na Ngwear , bas tupeni data za Ngwear na mafanikio yake ambayo mpak Vannyboy aonekane taka taka mbele yake .... Wabongo tupo vizur Sana kukikuza kilichopita na kutokikubali tulicho nacho ....
Wengi hapa mnacomment kinafk , wengine hata Ngwear hammjui Ila bas tu muonekane mnajua ...haya mwageni data basi Kwenye Nyanja zifuatazo ....
1/Uwezo wa kuimba aina tofaut za kuimba eg Hip hop, RB, rhumba, slow, n.k
2/Kiwango cha kupenya soko la kimataifa
3/ Tuzo alizochukua kitaifa na kimataifa
4/International collaboratin
5/Mauzo ya albam au single
6/Popularity ndani na nje ya nchi
N.K....
Leteni data za Ngwear bas ......
We s mshamba tuu hata usiposoma huna loloteNonsense, sijaisoma hata
😏We s mshamba tuu hata usiposoma huna lolote
Okey naona mnatokwa povu Sana Vanyboy kufananishwa na Ngwear , bas tupeni data za Ngwear na mafanikio yake ambayo mpak Vannyboy aonekane taka taka mbele yake .... Wabongo tupo vizur Sana kukikuza kilichopita na kutokikubali tulicho nacho ....
Wengi hapa mnacomment kinafk , wengine hata Ngwear hammjui Ila bas tu muonekane mnajua ...haya mwageni data basi Kwenye Nyanja zifuatazo ....
1/Uwezo wa kuimba aina tofaut za kuimba eg Hip hop, RB, rhumba, slow, n.k
2/Kiwango cha kupenya soko la kimataifa
3/ Tuzo alizochukua kitaifa na kimataifa
4/International collaboratin
5/Mauzo ya albam au single
6/Popularity ndani na nje ya nchi
N.K....
Leteni data za Ngwear bas ......
Sijui kichwa chako kina maji kiasi gani! Umeamua kufanisha hawa watu kwa tuzo za udongo au uwezo wa kuimba?Okey naona mnatokwa povu Sana Vanyboy kufananishwa na Ngwear , bas tupeni data za Ngwear na mafanikio yake ambayo mpak Vannyboy aonekane taka taka mbele yake .... Wabongo tupo vizur Sana kukikuza kilichopita na kutokikubali tulicho nacho ....
Wengi hapa mnacomment kinafk , wengine hata Ngwear hammjui Ila bas tu muonekane mnajua ...haya mwageni data basi Kwenye Nyanja zifuatazo ....
1/Uwezo wa kuimba aina tofaut za kuimba eg Hip hop, RB, rhumba, slow, n.k
2/Kiwango cha kupenya soko la kimataifa
3/ Tuzo alizochukua kitaifa na kimataifa
4/International collaboratin
5/Mauzo ya albam au single
6/Popularity ndani na nje ya nchi
N.K....
Leteni data za Ngwear bas ......
Huyo vanny wako ni fundi sawa, ila sio kumlinganisha na Cowboy,Vanny boy fundi .....!! [emoji39] sjui cocastic anasemeaje hili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amgusie vee money haogopi? Mbna atatoka hana pumbu, sitakagi ujinga mie.Atakuja amechafukwa ukigusia mambo ya v money[emoji38][emoji38][emoji38] ila mm tz nzima kama siyo dunia yote msani wang wa kwanza n vanny boi, chui, mtu mbayaaaaa[emoji16][emoji16][emoji16] anaftwata fireboy, hao wengine kwangu ni wakawaida sanaaaa[emoji38][emoji38]
Bora hata useme wee,Mada ya vinuka boksa, [emoji23][emoji23][emoji23] huyo mrembo mwenzenu hafikii hata nusu ya kipaji cha ngwea