Rayvanny ndio Mangwea wa kizazi hiki cha muziki

Okey naona mnatokwa povu Sana Vanyboy kufananishwa na Ngwear , bas tupeni data za Ngwear na mafanikio yake ambayo mpak Vannyboy aonekane taka taka mbele yake .... Wabongo tupo vizur Sana kukikuza kilichopita na kutokikubali tulicho nacho ....

Wengi hapa mnacomment kinafk , wengine hata Ngwear hammjui Ila bas tu muonekane mnajua ...haya mwageni data basi Kwenye Nyanja zifuatazo ....
1/Uwezo wa kuimba aina tofaut za kuimba eg Hip hop, RB, rhumba, slow, n.k
2/Kiwango cha kupenya soko la kimataifa
3/ Tuzo alizochukua kitaifa na kimataifa
4/International collaboratin
5/Mauzo ya albam au single
6/Popularity ndani na nje ya nchi
N.K....
Leteni data za Ngwear bas ......
Kwenda huko, unadhan kwa hili andiko lako lina badilisha lolote? Ngwair hakuna wa kumfika, mkipewa bundles tyuuh bas mapambio tumechoka lol.
 
Punguza mipombe ya kienyeji you are going to fall on Mud. And guyz will shake ur batoksii take care

Sijui kichwa chako kina maji kiasi gani! Umeamua kufanisha hawa watu kwa tuzo za udongo au uwezo wa kuimba?

Kama ni uwezo wa kuimba kwanini hujamfanisha na huyo binti na binti wenzake wanaoimba RnB na Singeli. Ngwair si tu msanii bali alikuwa ni zaidi ya msanii.

Huyo binti isitoshe ameanza kuusikia muziki wakati wa "Ghetto Langu". Kuna zama mbili hapa unafananisha ila umeshindwa kung'amua nyakati za hawa watu. Muziki umeshuka kiwango kwa sasa acha kufananisha Ngwair na huyu kijakazi wako.
I can't waste my time discussing with thes stpd nonsense pumpkin..hoja hamna, data hamna mnabaki kubwabwaja kama mabata kwenye mabwawa , hebu kuleni wali maharage mkalale..
 
sina
Sijui kichwa chako kina maji kiasi gani! Umeamua kufanisha hawa watu kwa tuzo za udongo au uwezo wa kuimba?

Kama ni uwezo wa kuimba kwanini hujamfanisha na huyo binti na binti wenzake wanaoimba RnB na Singeli. Ngwair si tu msanii bali alikuwa ni zaidi ya msanii.

Huyo binti isitoshe ameanza kuusikia muziki wakati wa "Ghetto Langu". Kuna zama mbili hapa unafananisha ila umeshindwa kung'amua nyakati za hawa watu. Muziki umeshuka kiwango kwa sasa acha kufananisha Ngwair na huyu kijakazi wako.
Wacha kuleta ujinga usifananishe Chuii na takataka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Slowly njoo ujibu huku.
Umemwelewa lakni we totooo, ha ha haaaa anamanisha hvi style aliyokuwa anaimba Ngwear pia vanyboy anaweza kuimba , Ila kuna style za Vannboy Ngwear anachemsha mfano hyo singeli , Vannboy anapita fresh Ila Ngwear lazima aning'inie
 
Hii isijirudie kufananisha Chui na ujinga wowote ule

munakuja kulialia hapa Hakuna hata utetezi wa number
Wajinga hao wanaleta mihemko , tunataka namba ziongee ..... Ngwear alipokuwa hai hawakuwa na utetezi wa namna hii mpak mshikaji amekufa kwenye umaskini na ufukara mtupu , amekata roho akiwa helpless kabisa Leo hii yanajidai oooh Ngwear , Ngwear haya toeni data bas tuone uwezo wake ulikuwaje , majitu mazima yanaishia kutukana , ni kuyapa shiit tuu....

Wawatee wasanii wao wakiwa hai ili wakifa namba ziwatetee , hata hvyo ni kawaida wabongo kuinua kilichopita Kwa maneno huku wakidharau uwezo wa kilichopo ,
 
Mtu anaimba kama yupo chooni ufananishe na chui
 
Wachache watakuelewa boss , kimsingi Rayvanny ndo msanii hapa bongo , hata Mond anajua , huyo mwamba ni full package sjutii kuwa shabiki wake kindakindaki ..... Jamaa next level
Tafuta demo flan yarayvanny inaitwa #Shabiki au kuna ngoma inaitwa vannyboy anapigiaga baadhi ya shoo utaamin uyo vanny n mshenz saaaana brooo
 
Dogo anajua na anafanya vizuri lakini kumuweka level moja na Albert sio sawa...
 
So ndo Huyu jamaa ameimba wimbo flan na mkongo, anaimba a, e, I, o, u mala atuimbie ukuti kiukweli ametuzoea vbaya amekuwa na u to to mwingi
 
Okey naona mnatokwa povu Sana Vanyboy kufananishwa na Ngwear , bas tupeni data za Ngwear na mafanikio yake ambayo mpak Vannyboy aonekane taka taka mbele yake .... Wabongo tupo vizur Sana kukikuza kilichopita na kutokikubali tulicho nacho ....

Wengi hapa mnacomment kinafk , wengine hata Ngwear hammjui Ila bas tu muonekane mnajua ...haya mwageni data basi Kwenye Nyanja zifuatazo ....
1/Uwezo wa kuimba aina tofaut za kuimba eg Hip hop, RB, rhumba, slow, n.k
2/Kiwango cha kupenya soko la kimataifa
3/ Tuzo alizochukua kitaifa na kimataifa
4/International collaboratin
5/Mauzo ya albam au single
6/Popularity ndani na nje ya nchi
N.K....
Leteni data za Ngwear bas ......

Wakati Ngwair anaimba muziki wa Tz ulikuwa haujapenetrate sana nje ila japokuwa amerest in Peace mangwair alikuwa na hitsongs nyingi kuliko ray van na kusema ukweli Mangwea was talented kuliko vany boy..
 
Una data au ushahidi
 
Back
Top Bottom