Unataka data gani mkuu ? data ndio ushahidi ? sijaelewa , where do i get those data ? how do i compare them ? Ukitaka uwiano wa data hapo ngwair atashinda sababu kuna kitu hujaenda sana deep, tukitaka tulete uwiano wa data za huko kwene mainternet ni lazima tuangalie na revolution ya internet yenyewe na Muziki ngwair kaanza siku nyingi na platform nyingi za kuutambulisha mziki zimeanza 2007 kwenda juu, yan hebu angalia hizi platform unazozitegemea tukachukue data zimeanza lini
2015 apple music started,
spotify ya wasweden imeanza 2006,
tidal imeanza 2014,
you tube 2005,
boom play imeanza 2015..
Na kilicholeta mapinduzi ya kweli ni ANDROID sasa imeanza lini ? September 23, 2008 so ebu fikiria mkuu, hiz platform zote wakati zinaanza NGWAIR ALIKUWA ASHAWASHA SANA MOTO NA CASSETTES alikuwa tayari ana album zinafanya vizuri, kina rayvan wanaimba kweli ila washukuru sana technolojia mkuu