Rayvanny ndio Mangwea wa kizazi hiki cha muziki

Namkubali Sana Ngwear , kuna boya hapo juu kasema albam ya Ngwear ndo albam Bora sjui anatumia kigezo kipi , kuna albam kama za akina Prof jizze , album Bora kabisa , akina sir nature n.k .... Ngwear yupo overated Sana , labda Kwa vile ameshuka kaburin .....

Kumuita Rayvanny taka taka against Ngwear ni matumizi mabaya ya akili , tafuteni msanii mwingine wa kumfanya Rayvanny awe takataka na sio Ngwear ......
 
Umeanza kuufutilia muziki siku hizi ndio maana unasema hivyuo,
Nahisi humjui wewe ngwear na hujawahi kumsikiliza
 
naona wewe umemjua Albert kipindi ameshafariki, Ila kwa mimi nilie mshuhudia anatoka mpaka anapotea siwezi andika ujinga huu maana nafsi itanichoma sana
 
kifupi ngwear hna mshindani tz, kuna walio jaribu angalau wakina chid benz, nikki mbishi, godzila,lusajo, kado kitengo, nk
 
Vijana punguzeni mahaba...

Kwanza ni irregular comparison...different styles..lakini pia Pengo la Albert halizibwi leo wala kesho..

Huyu Rayvanny mshindanisheni na kina Q. Chief huko..
 
Ngwear mwepesi Sana Kwa Vanboy , sema Tu mziki wa Ngwear na style yake ilipendwa na wahuni wa mtaani , wazururaji na wasio na hili wala lile , wavuta bangi and the like ....apumzike Tu Kwa Amani huko aliko Albert Mangwear....
 
Kumlinganisha Mangwea na huyo dogo ni makosa makubwa sana

Hujamtendea haki mwamba kabisa.
 
Acha kufananisha vitu vyenye thamani na upuuzi(rayvany)
 
Ngwair alisema pengo lake halina spea, hiyo spea umeitoa wapi!!! Acha basi hizo mapichapicha
 
Ray Vanny anajua sana kwa kizazi hichi ila Mangwair A. K. A Mimi ni mkali wa vizazi vyote jamaa alikuwa anajua sana ukicheki ngoma kama 120, She Got Gwaan sidhan kama kuna ngoma zitakuwa kali kama hizi
 
Anajua kupangilia mashairi yenye kusikilizika yenye vina mwanzo, kati na mwisho hii inamfanya kuwa msanii bora kwangu kwa wasanii wanaoimba kwa sasa RAY VAN BOY.
 
Salute.
 
You nailed it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…