Rayvanny; Nitaondoka WASAFI (WCB) kwa amani

Kitu kinachosababisha wasanii wcb kuondoka ni haya mabifu na media hivyo wanaona wanakosa uhuru na airtime so wanaona bora wasepe tuu kwakutegemea ft zitakuwa nyingi

Wee angalia harmoniz baada ya kutoka wcb kapata kolabo na Nandy pamoja Darasa ila angeendelea kuwepo wasafi asingepata hizo kolaboration

Ninachoona huko mbeleni hata mboso atajikataa pia ila yote na yote wanaona pale wcb wanabaniwa sana na media zingine so ni bora wabaki huru kuliko kuwa na mabifu na kukosa air time ktk media zingine
 
Hao wanaopewa airtime na media zingine wamefika wapi kimziki?? Au msanii gani nje ya wcb anamafanikio ya kimuziki na shows ukitoa hao wakubwa tu kama alikiba?
 
Hao wanaopewa airtime na media zingine wamefika wapi kimziki?? Au msanii gani nje ya wcb anamafanikio ya kimuziki na shows ukitoa hao wakubwa tu kama alikiba?
Ila hicho ndiyo wanakitaka, yaani kuwa huru na siyo huyu apigwi huku yule apigwi kule, asikwambie mtu Ruge alikuwa mjanja sana alijuwa jinsi ya kumuua kimuziki msanii
 
Hao wanaopewa airtime na media zingine wamefika wapi kimziki?? Au msanii gani nje ya wcb anamafanikio ya kimuziki na shows ukitoa hao wakubwa tu kama alikiba?
Ndani ya Wcb msanii mwenye pesa ni boss wao tu. Wengine wanaambulia umaarufu tu. Ukiwa chawa tu wa Wcb lazima uwe maarufu sembuse msanii mkwanja wako sawa na wakina gigy money .
 
Alikuwa anafanya hisani au biashara??
 
Kweli mkuu unaongea usichokijua!
 
Haya mambo ya kutegemea airtime kwenye radio moja tu yanaumiza sana....
 
Chawa katika ubora wako wa hali ya juu...
 
Naomba tu niseme, hakuna unalolijua kuhusu hao uliowaongelea.
Jitahidi hata kwenda wcb pale uulizie but what you wrote here its embarrassing kwa kweli.
Hii tabia ipo sana tz, mtu hata humjui mtu unamuongelea very deep kumbe imagination zako.
Niishie hapa..
And you will be suprised me ni biggest fan wa kiba.
 
Hawezi kusema ila moyoni Dogo anaumia sana, Mkataba wake na Wcb ni unyonyaji wa hali ya juu 70% yote ni ya Boss yeye anabakiwa na 30%
inamaana wakati anasini ule mkataba alikuwa kafumba macho? hakusoma chochote?
 
Tuambie kuhusu kiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…