Rayvanny; Nitaondoka WASAFI (WCB) kwa amani

Aslay ngoma zote, ringtones, YouTube video ni mali yake.

Rayvanny kazi zote alizofanya akiwa WCB siyo mali yake. Akiondoka kama hana pesa ya kulipa ataondoka kama Mavoko. Tena afadhali Mavoko tayari alikuwa na jina na nyimbo zake.

Huyo Rayvanny ataondoka na nguo zake tu na akiba ya kodi ya nyumba kama atakuwa nayo.

Aslay ni mtoto lakini ni Genius sana yule dogo.

Hivi hata hufikirii, ilikuwaje wimbo wa Salome aimbe Saida Karoli lakini Diamond akivyoutaka, pesa na makubaliano yote alipewa MUTA.

Saida Karoli hakupata hata 100, hilo ndilo litakalowakuta hao wasanii walioanzia muziki WCB. Tena kinachotia huruma ni kutumia nguvu yote na ubunifu ukiwa hapo, ukiisha utamu kama ganda la mua wanakutema, umefyonzwa utamu wote.
 
Kiukweli wasanii ambao diamond alibahatisha ni Kondeboy , ray vanny na Zuchu , Mboso still anasua sua japo ni afadhali , lava lava ni gharasa , qeen darling ndo usiseme[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kondeboy umemuweka 1St, ahsantee kwa hilo.
 
Mafanikio gan unayo zungumzia hapa? Sometimes hebu waza vizuri, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahsante wape somo hawa chawa wa WCB.
 
Mafanikio gan unayo zungumzia hapa? Sometimes hebu waza vizuri, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kibongo bongo wametoboa hao vijana.....ngoja nikutaftie ya supu Kwanza mpenz 😀😀 staki Leo ule mihogo
 
We jamaa una unafiki mwingi ndani yako ingawa huwa unapretend upo neutral. Ebu tuambie Aslay ana nini na kwa namba zipi za youtube na stream apps zingine ambazo Aslay anmkaribia hata kwa mbali Rayvanny? Tuambie Rayvanny anapokea kiasi gani kwenye malipo ya nyimbo zake kwa sababu inaonekana unajua. Tuambie pia Aslay amewahi kupeform majukwaa mangapi na show ngapi kubwa kwa mwaka hadi awe na kipato zaidi ya Rayvanny.

Mwisho Harmonize ameondoka Wcb na amelipa hiyo pesa sasa kipi kinakuaminisha Rayvanny hawezi kulipa wakati number zake za streams ni kubwa kuliko Harmonize na hiyo ni tangu harmonize yupo wasafi. Si hivyo hata shows wakati Harmonize yupo wasafi still Rayvanny alikuwa na show nyingi na kubwa kuliko Harmonize.
 
Kibongo bongo wametoboa hao vijana.....ngoja nikutaftie ya supu Kwanza mpenz [emoji3][emoji3] staki Leo ule mihogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan tena iwe hivyo tyuuh, nna njaa ya 7800
 
We unahangaika kumjibu huyo kilaza , anadai Rayvany anachukua 30% alaf akiondka WCB ataondka na begi lake Tu , sjui pale huwa anachukua hela ya Kula....
 
yaani mimi siwaelewi kipindi harmonize yupo wcb tuliambiwa ana hela kushinda alikiba lakini sasa hivi katoka wcb wanasema hela zilikuwa za sarah
Utawaweza bas wabongo ni mabingwa wa kufatilia maisha ya watu na ku-undermine juhudi zao..Yani ukifanikiwa bongo punguza marafki immediately ..watakuroga ......
Kuna jamaa kadai Rayvanny akitoka wasafi atatoka na begi lake tuu , hana kitu , sjui pale anafanya kazi ya kanisa
 
Boss wa WCB hataki kumaliza bifu na hizi media kubwa...
Anajua kabisa ngoma zao ziki achiwa zipigwe kwingine media yake itayumba hato pata wasikilizaji...
 
Sisikilizagi Wasafi Radio & TV lakini kila nikipita sehemu ni nyimbo za Diamond na wenzake.
Kwa kifupi watu maredioni washaachana nako, watu wana playlist zao kwenye divices zao. Awe Home, kwenye gari, bar, bajaji, bodaboda anapiga wimbo autakao, Radio is no more labda vipindi vya michezo.
 
Afu mbona mnawafanya wasanii kama wajinga kwamba wakipata pesa hawafikirii kujenga,kuweka vitega uchumi kama lodge au logistics nk nk? Kwamba bila mziki na muwepo wcb hawana maisha?

Yanaweza yasiwe maisha ya maigizo kama ya hapo wcb lakini yakawa maisha ya kawaida uhakika wa kula kutibiwa na kuweka mafuta ya gari upo.
 
Changamoto huwa ni kwamba huwa mtu anaondoka na kuendelea kuifanya kazi ile ile ambapo kiujumla na yeye atajiingiza kwenye ushindani wa soko hapo lazima kuvimbiana kuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…