Ukagundua kuwa wasanii wadogo hawawalipi wasanii wakubwa kufanya colabo?Nmefanya RESEARCH
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukagundua kuwa wasanii wadogo hawawalipi wasanii wakubwa kufanya colabo?Nmefanya RESEARCH
Aslay ngoma zote, ringtones, YouTube video ni mali yake.U cant be serious bruh!!! Unamfananisha Vannyboy na Aslay??
.
Tukiachana na malipo ya shows, rayvanny ni msanii wa pili kwa wanaoongoza kwa kupokea mtonyo mrefu kutoka kwenye digital platforms... Wakwnza ni Diamond, then rayvanny, then Harmonize, then Alikiba and so on
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kondeboy umemuweka 1St, ahsantee kwa hilo.Kiukweli wasanii ambao diamond alibahatisha ni Kondeboy , ray vanny na Zuchu , Mboso still anasua sua japo ni afadhali , lava lava ni gharasa , qeen darling ndo usiseme[emoji3][emoji3]
Ayaaa usinambie Kondeboy ashanichapia mke tayar😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kondeboy umemuweka 1St, ahsantee kwa hilo.
Mafanikio gan unayo zungumzia hapa? Sometimes hebu waza vizuri, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi naona wasanii wa WCB ndo Wana mafanikio kuliko hata hao wanaopewa airtime na media zote ....Konde boy mwenyewe anapewa airtime lakn naona kama anategemea Sana msuguano na WCB ili asikike......labda Nandy na King Kiba , Kiba mwenyewe ni upepo wa Mond ..... Kuna wakat Wasanii walikuwa wanadai kutamani kupata managers wa kufanya promo kama WCB inavyofanya ..... Ila WCB wamejitosheleza mpak sa hvi
Ahsante wape somo hawa chawa wa WCB.Aslay ngoma zote, ringtones, YouTube video ni mali yake.
Rayvanny kazi zote alizofanya akiwa WCB siyo mali yake. Akiondoka kama hana pesa ya kulipa ataondoka kama Mavoko. Tena afadhali Mavoko tayari alikuwa na jina na nyimbo zake.
Huyo Rayvanny ataondoka na nguo zake tu na akiba ya kodi ya nyumba kama atakuwa nayo.
Aslay ni mtoto lakini ni Genius sana yule dogo.
Hivi hata hufikirii, ilikuwaje wimbo wa Salome aimbe Saida Karoli lakini Diamond akivyoutaka, pesa na makubaliano yote alipewa MUTA.
Saida Karoli hakupata hata 100, hilo ndilo litakalowakuta hao wasanii walioanzia muziki WCB. Tena kinachotia huruma ni kutumia nguvu yote na ubunifu ukiwa hapo, ukiisha utamu kama ganda la mua wanakutema, umefyonza utamu wote.
Kibongo bongo wametoboa hao vijana.....ngoja nikutaftie ya supu Kwanza mpenz 😀😀 staki Leo ule mihogoMafanikio gan unayo zungumzia hapa? Sometimes hebu waza vizuri, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa una unafiki mwingi ndani yako ingawa huwa unapretend upo neutral. Ebu tuambie Aslay ana nini na kwa namba zipi za youtube na stream apps zingine ambazo Aslay anmkaribia hata kwa mbali Rayvanny? Tuambie Rayvanny anapokea kiasi gani kwenye malipo ya nyimbo zake kwa sababu inaonekana unajua. Tuambie pia Aslay amewahi kupeform majukwaa mangapi na show ngapi kubwa kwa mwaka hadi awe na kipato zaidi ya Rayvanny.Aslay ngoma zote, ringtones, YouTube video ni mali yake.
Rayvanny kazi zote alizofanya akiwa WCB siyo mali yake. Akiondoka kama hana pesa ya kulipa ataondoka kama Mavoko. Tena afadhali Mavoko tayari alikuwa na jina na nyimbo zake.
Huyo Rayvanny ataondoka na nguo zake tu na akiba ya kodi ya nyumba kama atakuwa nayo.
Aslay ni mtoto lakini ni Genius sana yule dogo.
Hivi hata hufikirii, ilikuwaje wimbo wa Salome aimbe Saida Karoli lakini Diamond akivyoutaka, pesa na makubaliano yote alipewa MUTA.
Saida Karoli hakupata hata 100, hilo ndilo litakalowakuta hao wasanii walioanzia muziki WCB. Tena kinachotia huruma ni kutumia nguvu yote na ubunifu ukiwa hapo, ukiisha utamu kama ganda la mua wanakutema, umefyonzwa utamu wote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan tena iwe hivyo tyuuh, nna njaa ya 7800Kibongo bongo wametoboa hao vijana.....ngoja nikutaftie ya supu Kwanza mpenz [emoji3][emoji3] staki Leo ule mihogo
We unahangaika kumjibu huyo kilaza , anadai Rayvany anachukua 30% alaf akiondka WCB ataondka na begi lake Tu , sjui pale huwa anachukua hela ya Kula....We jamaa una unafiki mwingi ndani yako ingawa huwa unapretend upo neutral. Ebu tuambie Aslay ana nini na kwa namba zipi za youtube na stream apps zingine ambazo Aslay anmkaribia hata kwa mbali Rayvanny? Tuambie Rayvanny anapokea kiasi gani kwenye malipo ya nyimbo zake kwa sababu inaonekana unajua. Tuambie pia Aslay amewahi kupeform majukwaa mangapi na show ngapi kubwa kwa mwaka hadi awe na kipato zaidi ya Rayvanny.
Mwisho Harmonize ameondoka Wcb na amelipa hiyo pesa sasa kipi kinakuaminisha Rayvanny hawezi kulipa wakati number zake za streams ni kubwa kuliko Harmonize na hiyo ni tangu harmonize yupo wasafi. Si hivyo hata shows wakati Harmonize yupo wasafi still Rayvanny alikuwa na show nyingi na kubwa kuliko Harmonize.
Yaani kwa muziki wa alikiba anaofanya na kunatokea mtu anasema ukubwa wake unamtegemea Diamond,basi huna budi ya kumuona huyo mtu kama ni "mshamba"..wambie bro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo ni mvurugano tyuuh.yaani mimi siwaelewi kipindi harmonize yupo wcb tuliambiwa ana hela kushinda alikiba lakini sasa hivi katoka wcb wanasema hela zilikuwa za sarah
Utawaweza bas wabongo ni mabingwa wa kufatilia maisha ya watu na ku-undermine juhudi zao..Yani ukifanikiwa bongo punguza marafki immediately ..watakuroga ......yaani mimi siwaelewi kipindi harmonize yupo wcb tuliambiwa ana hela kushinda alikiba lakini sasa hivi katoka wcb wanasema hela zilikuwa za sarah
Kitu kinachosababisha wasanii wcb kuondoka ni haya mabifu na media hivyo wanaona wanakosa uhuru na airtime so wanaona bora wasepe tuu kwakutegemea ft zitakuwa nyingi
Wee angalia harmoniz baada ya kutoka wcb kapata kolabo na Nandy pamoja Darasa ila angeendelea kuwepo wasafi asingepata hizo kolaboration
Ninachoona huko mbeleni hata mboso atajikataa pia ila yote na yote wanaona pale wcb wanabaniwa sana na media zingine so ni bora wabaki huru kuliko kuwa na mabifu na kukosa air time ktk media zingine
Kwani yeye ndio alisema media zisicheze nyimbo zako au hizo media ndio zilizoamua?Boss wa WCB hataki kumaliza bifu na hizi media kubwa...
Anajua kabisa ngoma zao ziki achiwa zipigwe kwingine media yake itayumba hato pata wasikilizaji...
Atakuwa mavumbini hahahaLava Lava asijetoka WCB atapotea kabisa
Sisikilizagi Wasafi Radio & TV lakini kila nikipita sehemu ni nyimbo za Diamond na wenzake.Mkuu ukishakua msanii mkubwa na unahit song za kutosha wasanii wadogo kwa wakubwa wanakufuata tena kwa malipo
Ila wasanii wakiogopa kufanya kolabo na wewe kwa kuhofia media kubwa kama clouds kutowapiga nyimbo zao ujue utapotea tuu
Mondi kinacho mbeba ni Media yake bila hivyo angekufa kifo cha mende
Afu mbona mnawafanya wasanii kama wajinga kwamba wakipata pesa hawafikirii kujenga,kuweka vitega uchumi kama lodge au logistics nk nk? Kwamba bila mziki na muwepo wcb hawana maisha?Aslay ngoma zote, ringtones, YouTube video ni mali yake.