Rayvanny; Nitaondoka WASAFI (WCB) kwa amani

Kiukweli wasanii ambao diamond alibahatisha ni Kondeboy , ray vanny na Zuchu , Mboso still anasua sua japo ni afadhali , lava lava ni gharasa , qeen darling ndo usiseme😀😀
Mbosso walau anaweza kutunga sema style yake ya kizenji ndio ishachunda 😂😂😂 bora mtu kama Harmonize anaweza flex na style zinginezo
 
Mbona bado anatumia instagram?
 
Instagram ni ya kwake, haiingizi Hela.

Digital zenye pesa ni Boomplay, Spotify, Deezer, nk

Huko hagusi
Naona biashara ya mziki wa bongo unaanza kukua marekani wapo mbali Sana kwenye haya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…