MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Ni mkataba wa kimangungo.Sio ndio mkataba unavyosema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mkataba wa kimangungo.Sio ndio mkataba unavyosema
Lavalava ni mtori, sijawahi kumkubali jamaa kabisaMle hamna mwanamziki
Mbosso walau anaweza kutunga sema style yake ya kizenji ndio ishachunda 😂😂😂 bora mtu kama Harmonize anaweza flex na style zinginezoKiukweli wasanii ambao diamond alibahatisha ni Kondeboy , ray vanny na Zuchu , Mboso still anasua sua japo ni afadhali , lava lava ni gharasa , qeen darling ndo usiseme😀😀
Ndio mikataba ya miziki jinsi ilivyo sema WCB wameleta hapa bongoNi mkataba wa kimangungo.
Mbona bado anatumia instagram?Wewe unaonaje.
Stori zilizopo jamaa Hana mpango wa kulipa hata 100.
Digital platforms zote Bado wanashikiria Wasafi. Amebaki na Shows tu.
Unafanya Shows unapata pesa, unatengeneza video na audio unawapelekea Wasafi wakuwekee kwenye digital platforms halafu Ngoma zinauzwa wanachukua mgawo wao, na Bado Ngoma zote siyo Mali yako.
Instagram ni ya kwake, haiingizi Hela.Mbona bado anatumia instagram?
Naona biashara ya mziki wa bongo unaanza kukua marekani wapo mbali Sana kwenye haya mamboInstagram ni ya kwake, haiingizi Hela.
Digital zenye pesa ni Boomplay, Spotify, Deezer, nk
Huko hagusi