Rayvanny usilipe million 800, Serikali kemeeni upuuzi wa Diamond Platinum

Rayvanny usilipe million 800, Serikali kemeeni upuuzi wa Diamond Platinum

Lakasa chika7

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
454
Reaction score
1,270
Seriously million 800..Diamond wewe ni insane? au!

Msanii umemchua umeweka pesa baada ya miaka 2 umeanza kula 60 % zake baada ya kutaka kuvunja mkataba unasema million 800 for what. Acha upuuzi wewe.. Tatizo huna shule na hiyo mimeneja njaa inakuponza.

Umechukua zaidi ya billion 6 kwa asilimia 60 kwa Rayvanny hata nyimbo nyingi Raymond katoa kwa gharama zake.

Wewe ulilalama Ruge anakunyonya kwann unanyonya wengine.

Raymond usitoe hata 100 la sivyo arudishe hizo asilimia 60 zaidi ya billion 6. Komaa na Serikali watakusaidia.

Diamond una roho mbaya
 
Mbona akina p funk hamuwasemi mmekazan kuanzia nyuzi za diamond pekee..nyie muacheni mond aishi maisha yake,njaa,dhiki,shida na umasikini wao ndio uliwafanya wakasaini mbona hamkutuambia magumu yao toka mwanzo..TUMEWACHOKA
 
Acha kupotosha na hii statement yako

“Baada ya kuvunja mkataba unasema milion 800“.. unasema as if jamaa amemstukiza

Hio milion 800 ilikuepo kwny mkataba kipindi wanakubaliana, kama yeye aliona hataweza angekataa ku sign.

Sio unakubali unakula hela za watu unapata umaarufu halafu unataka kukimbia, unakimbia kwenda wapi? Maliza makubaliano sio kutafuta huruma.

Na umesema mwenyewe diamond kachukua bilion 6 (kwa 60%). It means rayvanny kachukua bilion 4 (kwa 40%) yake. Hio 4 bilion vanny angetoa wapi asingeenda wasafi? Angebaki mbeya saiv hata baiskeli asingekua nayo
 
Seriously million 800..Diamond wewe ni insane? au!

Msanii umemchua umeweka pesa baada ya miaka 2 umeanza kula 60 % zake baada ya kutaka kuvunja mkataba unasema million 800 for what. Acha upuuzi wewe.. Tatzo huna shule na hiyo mimeneja njaa inakuponza.

Umechukua zaidi ya billion 6 kwa asilimia 60 kwa Rayvanny hata nyimbo nyingi Raymond katoa kwa gharama zake.

Wewe ulilalama ruge anakunyonya kwann unanyonya wengine.. Utalaaniwa mbuzi wewe.

Raymond usitoe hata 100 la sivyo arudishe hizo asilimia 60 zaidi ya billion 6. komaa na serikali watakusaidia.. Diamond una roho mbaya

Simtetei Diamond, ila watu wanapaswa kuheshimu mikataba, kabla hujaingia mkataba na mtu yeyote usome vizuri mkataba ukiona ni wakinyonyaji achana nao, ikiwa njaa njaa zako zitakupelekesha jiandae kuvuna ulichopanda
 
Back
Top Bottom