Yaani suluhisho la kutolipa hiyo pesa hapo, Ni yeye kubadili jina na kuanza kujiita hata Raymond Chui halafu afungue channel mpya kwenye digital platforms zote aanze maisha mapya.
Kila kilichopo Wasafi awaachie.
Kiss Daniel walizinguana na Label yake akaanza kujiita KIZZ DANIEL maisha yakaendelea.
Mavoko alisepa wakapora digital platforms akaanzisha za Biliinea Kid maisha yakasonga.
Yeye Rayvanny aangalie kama mfukoni Bado Yuko vizuri, Anna myumba na magari na hanq uhakika na mziki wake asijilipue, awaachie Wasafi wanachotaka aanze upya huku akiwa huru wa kula na kulala.
Asinifanye mmakonde kuuza nyumba na magari kulipa madeni halafu mziki na wenyewe ukampa mkono wa kwa heri