Lakasa chika7
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 454
- 1,270
tulia wewe kolo la wasafi.. mm naishi usa asubuhi now hapaHahaha....umekua mkali balaa
usiku sana kuongelea maisha ya watu ....saa nane na nusu asee.
Simtetei Diamond, ila watu wanapaswa kuheshimu mikataba, kabla hujaingia mkataba na mtu yeyote usome vizuri mkataba ukiona ni wakinyonyaji achana nao, ikiwa njaa njaa zako zitakupelekesha jiandae kuvuna ulichopandaSeriously million 800..Diamond wewe ni insane? au!
Msanii umemchua umeweka pesa baada ya miaka 2 umeanza kula 60 % zake baada ya kutaka kuvunja mkataba unasema million 800 for what. Acha upuuzi wewe.. Tatzo huna shule na hiyo mimeneja njaa inakuponza.
Umechukua zaidi ya billion 6 kwa asilimia 60 kwa Rayvanny hata nyimbo nyingi Raymond katoa kwa gharama zake.
Wewe ulilalama ruge anakunyonya kwann unanyonya wengine.. Utalaaniwa mbuzi wewe.
Raymond usitoe hata 100 la sivyo arudishe hizo asilimia 60 zaidi ya billion 6. komaa na serikali watakusaidia.. Diamond una roho mbaya
Hizi nguvu wazielekeze kwenye makali ya tozo na makodi piaHahaha....umekua mkali balaa
usiku sana kuongelea maisha ya watu ....saa nane na nusu asee.
6MB za internetDiamond_60%= 6B
Rayvany_40%=4B
Unamaanisha ?