Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,357
- 3,550
Na serekali ya magufuli pia ishukuriwe.Ngoma alizotoa Rayvanny zinajiuza zenyewe Wala haziitaji promo.Unaweza kuombea bank mkopo ukapewa bila riba, zinatibu magonjwa sugu,zinaondoa stress bila kusahau zinaongeza nguvu za kiume big up kwa mbeya boy kwa kutupa kazi nzuri ila kwangu sweat Melody ndo best song kwangu ingawa zingine nazielewa.