Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,805
- 17,850
WCB watafute wasanii wenye caliber ya ushindani kama wanataka kukuza lebo.
Ukimuondoa Diamond hawa waliobaki ni ushuzi tuu, HAKUNA WA KUZIBA PENGO LA RAJAB.
Wale wa mateam kaeni mbali, sipo hapa kupaka mtu kwa mgongo wa chupa.
Wasanii pekee waliobaki na u-serious wa kazi kwa sasa ni Diamond, Harmonize, Darasa, Maua Sama, Marioo, Weusi. Najua mtauliza Alikiba yuko wapi lkn huo ndio ukweli jamaa hana lake kwa sasa anabebwa na jina tuu, ila kazi hakuna kabisa kwa sasa.
Hao kina Rayvanny na Lavalava ni uchuro tuu, wanainajisi WCB bure tuu, watoke hapo, shubamiit.
Unforgetable