Rayvany ameachia ngoma tano, wapendanao kazi kwenu sasa

Na serekali ya magufuli pia ishukuriwe.
 
Sina timu ya mzk Tanzania.. #Mshumaa itabaki ngoma yangu kali ya muda wote.. ikifuatiwa na hizi

Ni wewe - Ommy dimpoz

Chuki- Aslay

Atarudi - Harmonize

I miss U -Diamond

Samahan kwa kuwa nje ya Mada..
 
Hawa vijana kwakwel wanajtuma hata huyu harmonize ila yeye nyimbo zake anaweka vijembe vinaharibu radha ya ngoma

Ila kwa huyu sijui anajiita chui[emoji249] jamaa huyu hatari hua namfatilia hata ule wimbo wake wa Ilove u aliua
Yule Mmakonde mwenzangu anavyopenda ligi na kujiona mkubwa atahisi hizi ngoma zimetolewa ili kumzima yeye.........kila mtu atambe na nyimbo zake[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa hua sio wa polepole
Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamaa mkali ila desing siku hizi kama anaimba same melodies...
Ngoma kwangu naona kawaida ila kwenye makulusa jamaa aliua sana baada ya hapo nikaja mkubari kwenye naogopa hizi mimi sikio langu halijazielewa
 
Sina timu ya mzk Tanzania.. #Mshumaa itabaki ngoma yangu kali ya muda wote.. ikifuatiwa na hizi

Ni wewe - Ommy dimpoz

Chuki- Aslay

Atarudi - Harmonize

I miss U -Diamond

Samahan kwa kuwa nje ya Mada..
Ww ni mpenz wa nyimbo za kusikiliza na sio za kubang , ongezea Tu na Ukimwona ya mond list itapendeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…