Miaka yote kakaa ki undergroundhuyo wa local ana tuzo ya BET kabatini,hao wa kwako wa inteneshino wana nini zaidi ya marangi rangi kichwani na miwani za midoli....
Makulusa inabidi ngoma yake kali kuzidi zote alizowahi kuimbajamaa mkali ila desing siku hizi kama anaimba same melodies...
Ngoma kwangu naona kawaida ila kwenye makulusa jamaa aliua sana baada ya hapo nikaja mkubari kwenye naogopa hizi mimi sikio langu halijazielewa
Mashabiki Wa WCB MNA matatizo gani??..Hahahahaaaa mbna mashaka mengiYule Mmakonde mwenzangu anavyopenda ligi na kujiona mkubwa atahisi hizi ngoma zimetolewa ili kumzima yeye.........kila mtu atambe na nyimbo zake[emoji16]
Jamaa watu Wa kujikweza Hatar mapinduzi yepi?..kutia ngoma 5 kwa Mara moja au kufanya video na nguo zilikolea rangi...pumbavMapinduzi Gani Waliyoyaleta ebu yaseme.. Au ndo unajiropokea
Hizi Ngoja za Kiunderground ndo Mapinduzi yenyewe?
Jibu hoja acha taarabuWw ndiye unaropoka maana haujabakiziwa sembe umekuta wameshakula ....subiri usiku ukienda kutembea wanakupiga raba tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu stress za kumaliziwa ugali unazileta huku
sent from toyota Allex
NAHISI HAYA NDO MAPINDUZI ANAYOSEMEA JAMAA Hahahahaaaa... Apart from melodies kujirudia kwa nyimbo ambazo katoa kabla ya hizi tano Rayvan amekuwa anabana mno PUA ili sauti ionekane laini kwangu mm kafelijamaa mkali ila desing siku hizi kama anaimba same melodies...
Ngoma kwangu naona kawaida ila kwenye makulusa jamaa aliua sana baada ya hapo nikaja mkubari kwenye naogopa hizi mimi sikio langu halijazielewa
Weka kwenye playlist yako yeye kamalizaWw ni mpenz wa nyimbo za kusikiliza na sio za kubang , ongezea Tu na Ukimwona ya mond list itapendeza
Hivi u serious Wa kazi ni kutoa wimbo Kila mwezi?...HahahahaaaaWCB watafute wasanii wenye caliber ya ushindani kama wanataka kukuza lebo.
Ukimuondoa Diamond hawa waliobaki ni ushuzi tuu, HAKUNA WA KUZIBA PENGO LA RAJAB.
Wale wa mateam kaeni mbali, sipo hapa kupaka mtu kwa mgongo wa chupa.
Wasanii pekee waliobaki na u-serious wa kazi kwa sasa ni Diamond, Harmonize, Darasa, Maua Sama, Marioo, Weusi. Najua mtauliza Alikiba yuko wapi lkn huo ndio ukweli jamaa hana lake kwa sasa anabebwa na jina tuu, ila kazi hakuna kabisa kwa sasa.
Hao kina Rayvanny na Lavalava ni uchuro tuu, wanainajisi WCB bure tuu, watoke hapo, shubamiit.
Unforgetable
Mtoe darasa, maua na weusi, awapo serieus ila sijajua we u serieus ume uchukulia vipi mkuu
Sent using iphone
Kwa sababu hata huyo anaeonekana yupo serious above measure anateseka na Kiba peke yake ambaye unamuona hayupo serious..u serious siyo kutoa nyimbo 3 ndani ya mwezi mmoja Bro... Ni ubora Wa kazi husika mtu anakaa kimya miez 6,7,8 hadi mwaka akiachia TANZANIA inatulia inaskiza ngoma akina KIBA,FA,ROMA nk wanaepuka kukopi,melody kujirudia nk..hao Wa back to back ndo Mara wamenunua kolabo,Mara melodies kujirudia coz ya kutoupa ubongo kutulia na kuleta kitu kingine bora zaidi... Diamond alikuwa serious sana last year bt kaenda Sound city karudi mtupu why?..ni coz unaenda unajikuta upo category moja na mtu uliyemkop cc SOAPY ya NAIRA MARLEY na BABA LAO utatokea wapi?..anaenda mahali anaipiga Yope na watu wanajua Yope ni ya INNOS B is that a seriousness?..msanii tulia upe ubongo nafas achia ngoma.WCB watafute wasanii wenye caliber ya ushindani kama wanataka kukuza lebo.
Ukimuondoa Diamond hawa waliobaki ni ushuzi tuu, HAKUNA WA KUZIBA PENGO LA RAJAB.
Wale wa mateam kaeni mbali, sipo hapa kupaka mtu kwa mgongo wa chupa.
Wasanii pekee waliobaki na u-serious wa kazi kwa sasa ni Diamond, Harmonize, Darasa, Maua Sama, Marioo, Weusi. Najua mtauliza Alikiba yuko wapi lkn huo ndio ukweli jamaa hana lake kwa sasa anabebwa na jina tuu, ila kazi hakuna kabisa kwa sasa.
Hao kina Rayvanny na Lavalava ni uchuro tuu, wanainajisi WCB bure tuu, watoke hapo, shubamiit.
Unforgetable
Tatixo vijana wengine mmejaa roho za korosho , we huoni lebol yenye nguvu zaidi katika mziki wa TanzaniaTaja Mapinduzi Waliyoyaleta si kupiga mboyoyo za Vijiwe vya visharobaro uchwara
Sio sawa kuwatusi wenzako ambao wamejaribu na kuthubutu. Wanaridhika na kidogo wanachokipata.Wasaf wanajua kuliteka soko !! Wanajua kusoma game inataka nini .......na jamii inataka nini sio kama yule mpuuzi anayejiona anakipaji wakati anabeba na tour za kwenye mabanzi ya nguruwe kule tabora
Tuwe wakweli tu ...ktk historia ya mziki ..wasafi wameleta mapinduz makubwa kwenye game
sent from toyota Allex
Msanii anategemea mashabiki.. Sasa wewe unalia nini?[emoji23][emoji23]Watu wanapost kujisifia afu wanaitana twende kule tukakinukishe....
Mtu anayejitegemea ni bora kuliko mtu anayetegemea mtu
Sent using Jamii Forums mobile app