Njiwadume
Senior Member
- Jun 13, 2020
- 139
- 343
Hizo ni pesa zake ni kweli lakini kutumia kiasi chote hiki cha pesa kwaajili ya pombe ni dhahili kuwa umekunywa pombe nyingi sana..
Hii ni hatari kwa afya yake na maendeleo ya kazi zake..
.kuna msanii (kwa sasa ni hayati) alipokuwa hai niliwahi msikia akihojiwa nakuulizwa anapendelea nini sana kwenye mambo ya ulaji? akajibu anapenda sana soda na kwa siku akitumia soda chache labda 5..lakini badae aliugua sana tena inawezekana maradhi yale yashabihiana na madhala unywaji wa soda lakini hakupona...wasanii wajenge afya zao vizuri wasije kuteketea...!