Rayvany atumia milioni 5.8 kwenye pombe

Rayvany atumia milioni 5.8 kwenye pombe

Hizo ni pesa zake ni kweli lakini kutumia kiasi chote hiki cha pesa kwaajili ya pombe ni dhahili kuwa umekunywa pombe nyingi sana..
Hii ni hatari kwa afya yake na maendeleo ya kazi zake..
.kuna msanii (kwa sasa ni hayati) alipokuwa hai niliwahi msikia akihojiwa nakuulizwa anapendelea nini sana kwenye mambo ya ulaji? akajibu anapenda sana soda na kwa siku akitumia soda chache labda 5..lakini badae aliugua sana tena inawezekana maradhi yale yashabihiana na madhala unywaji wa soda lakini hakupona...wasanii wajenge afya zao vizuri wasije kuteketea...!
 
Hawa wasanii wa bongo starehe zitawapeleka pabaya

Kibaya zaidi wakipata shida wanaenda kulia kwenye mitandao ya kijamii na kuomba msaada

Mimi nadhani Wasanii wa bongo wanaitaji elimu ya uwekezaji

Wengi wao mziki ukiwakataa wanabaki kuwa na Hali ngumu kimaisha

Unahisi kafanya bahati mbaya, kafanya ili habari ikufikie azungumziwe
 
Halafu nikusaidie tu rayvan ndio msanii namba mbili kwa utajiri ukimtoa mondi kama hujui sema hapendi kujishoo
 
Anakwenda na msemo "tumia kwa wingi, ziingie kwa wingi"
 
Sijaangalia hiyo clip lakini kuna kitu watu wnatakiwa waelewe: Asilimia kubwa ya mambo wanayosema wasanii ni usanii. Mfano msanii anaweza kusema katoa zawadi ya thamani kubwa kwa watu/mtu fulani kumbe kiukweli kapewa kitu chenye thamani ndogo kabisa.

Hivyo basi msanii akisema ametumia sh. milioni kumi kununua/kufanya jambo fulani ukitaka kupata kiasi cha ukweli alichotumia unahitaji kutumia formula hii: Chukua kiasi alichosema, gawanya kwa nne halafu tafuta square root ya jibu unalopata.
Hahaah unachopata sasa, kidunchuuuu

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Milioni tano mbona hela ndogo tu kwenye pombe! Labda kama umezoea kula mataputapu. Halafu walevi wa mataputapu wana upendo, mmoja anakunywa anaingiza masharubu halafu anamtembezea mwingine. Eew
 
Hawa wasanii wa bongo starehe zitawapeleka pabaya

Kibaya zaidi wakipata shida wanaenda kulia kwenye mitandao ya kijamii na kuomba msaada

Mimi nadhani Wasanii wa bongo wanaitaji elimu ya uwekezaji

Wengi wao mziki ukiwakataa wanabaki kuwa na Hali ngumu kimaisha

Kuna kitu kimoja ambacho inaelekea watu wengi hatukijui.

Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na KIPAJI na kuwa na AKILI!

Wengi hua tunadhani kwamba, watu wenye vipaji (waimbaji, waigizaji, wacheza mpira nk) hua pia wana akili. Kwa hiyo tunategemea kuwaona wakifanya maamuzi ya busara, wakiwekeza, wakiishi vizuri na jamii, wakiwa na mahusiano thabiti nk.

Lakini uzoefu unaonyesha kuwa wengi wa watu wenye vipaji, hua ni WAJINGA sana kwenye maeneo mengine ya kimaisha! Na ndio maana wengi wao hua wanaishia kwenye ulevi, utumiaji wa mihadarati, umalaya, nk na mwisho wanafilisika na kufa masikini. Na hii sio kwa Tanzania tu, ni dunia nzima.
 
Knowledge and wisdom ni sifuri kabisa kwa hawa jamaa walahi [emoji3062]
 
Teh!
Sijaangalia hiyo clip lakini kuna kitu watu wnatakiwa waelewe: Asilimia kubwa ya mambo wanayosema wasanii ni usanii. Mfano msanii anaweza kusema katoa zawadi ya thamani kubwa kwa watu/mtu fulani kumbe kiukweli kapewa kitu chenye thamani ndogo kabisa.

Hivyo basi msanii akisema ametumia sh. milioni kumi kununua/kufanya jambo fulani ukitaka kupata kiasi cha ukweli alichotumia unahitaji kutumia formula hii: Chukua kiasi alichosema, gawanya kwa nne halafu tafuta square root ya jibu unalopata.
 
Milioni tano mbona hela ndogo tu kwenye pombe! Labda kama umezoea kula mataputapu. Halafu walevi wa mataputapu wana upendo, mmoja anakunywa anaingiza masharubu halafu anamtembezea mwingine. Eew
Kaka unazungumzia komoni au ulanzi wa mil 5
 
C ndo naskia kweny hyo label yake ni kama tu ameyakanyaga...kaamua kurudi dabliusibii?
 
Back
Top Bottom