Rayvany atumia milioni 5.8 kwenye pombe

Rayvany atumia milioni 5.8 kwenye pombe

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
729
Reaction score
555
Hawa wasanii wa bongo starehe zitawapeleka pabaya

Kibaya zaidi wakipata shida wanaenda kulia kwenye mitandao ya kijamii na kuomba msaada

Mimi nadhani Wasanii wa bongo wanaitaji elimu ya uwekezaji

Wengi wao mziki ukiwakataa wanabaki kuwa na Hali ngumu kimaisha

Hawa wasanii wa bongo starehe zitawapeleka pabaya

Kibaya zaidi wakipata shida wanaenda kulia kweny mitandao ya kijamii na kuomba msaada

Mimi nadhani Wasanii wa bongo wanaitaji elimu ya uwekezaj

Wengi wao mziki ukiwakataa wanabak kuwa na Hali ngumu kimaisha

Kijana tumia pesa ikuzowee.
 
Maisha ni yake, msiba ni wetu…. zingatia hilo.
Sijaangalia hiyo clip lakini kuna kitu watu wnatakiwa waelewe: Asilimia kubwa ya mambo wanayosema wasanii ni usanii. Mfano msanii anaweza kusema katoa zawadi ya thamani kubwa kwa watu/mtu fulani kumbe kiukweli kapewa kitu chenye thamani ndogo kabisa.

Hivyo basi msanii akisema ametumia sh. milioni kumi kununua/kufanya jambo fulani ukitaka kupata kiasi cha ukweli alichotumia unahitaji kutumia formula hii: Chukua kiasi alichosema, gawanya kwa nne halafu tafuta square root ya jibu unalopata.
 
Usimfugie chuki kijana tafuta pesa yako achana na mawazo magumu kuyamudu, mpaka alipo fikia ni uwekezaji pia bills kalipa mwenyewe.
 
Hawa wasanii wa bongo starehe zitawapeleka pabaya

Kibaya zaidi wakipata shida wanaenda kulia kweny mitandao ya kijamii na kuomba msaada

Mimi nadhani Wasanii wa bongo wanaitaji elimu ya uwekezaj

Wengi wao mziki ukiwakataa wanabak kuwa na Hali ngumu kimaisha

Acha makasiriko, tafuta hela bro
 
Deni la mkataba wake na Wasafi ameshalipa...?
 
Sijaangalia hiyo clip lakini kuna kitu watu wnatakiwa waelewe: Asilimia kubwa ya mambo wanayosema wasanii ni usanii. Mfano msanii anaweza kusema katoa zawadi ya thamani kubwa kwa watu/mtu fulani kumbe kiukweli kapewa kitu chenye thamani ndogo kabisa. Hivyo basi msanii akisema ametumia sh. milioni kumi kununua/kufanya jambo fulani ukitaka kupata kiasi cha ukweli alichotumia unahitaji kutumia formula hii: Chukua kiasi alichosema, gawanya kwa nne halafu tafuta square root ya jibu unalopata.
Ni kweli
 
Hawa wasanii wa bongo starehe zitawapeleka pabaya

Kibaya zaidi wakipata shida wanaenda kulia kwenye mitandao ya kijamii na kuomba msaada

Mimi nadhani Wasanii wa bongo wanaitaji elimu ya uwekezaji

Wengi wao mziki ukiwakataa wanabaki kuwa na Hali ngumu kimaisha

Akili za mtu maskini kitoka bara la afrika.
 
Back
Top Bottom