Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahhhahhhahhaa..dah!Matumbo kama hayo ni nadra sana kwa mabinti wa kibongo...
I think she is showing that..
Atakuwa hali viporo huyu.
Picha nzuri.
Kijana tutake radhi haraka sana. jisemee mwenyewe na dada zako au wapenzi wako. Mama yako pia anavaa kitenge! Wanawake wawili watatu waliokuchuna wasituharibie majina, wanawake wengi tuna mapesa yetu tumechuma kihalali kabisa. Nikisena wanaume wote hawafai-kwa namna moja au nyingine wewe utajisikiaje?Wanawake wote wanapenda pochi, hata avae vitenge
ndo swag mzee😂😂😂😂Mbona hizo nanii kazivaa lough sana au ndo swag za mjini.
Hayo ni mambo ya kawaida tu ..kwani shanga inatofauti ipi na cheni inayo valiwa shingoni au ki-kuku?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sijawahi kupata demu mkali kama huyu. Naishia kula mijimama tu mitumbo kama viroba
imenibidi nirudi juu kwa speed ya hatari kuiangalia picha vizuri (tumbo) housegirl wa bimkubwa yupo vizuri huyu mke wa rayvany anaweza akawa anafatafata kidogo sema mabint wengi wa kibongo wakiacha tumbo wazi tunaweza ziona hata zile minyoo live tunazoandikiwa na madoctor tukienda vituo vya afya hali tete sana mkuuMatumbo kama hayo ni nadra sana kwa mabinti wa kibongo...
I think she is showing that..
Atakuwa hali viporo huyu.
Picha nzuri.