Chalamila ni stress free leader , yuko vizur kiuongozi ki mamlaka na kijamii piaWakuu,
Kumbe Mkuu wa Mkoa yupo vizuri hadi pande hizi, si kwenye Siasa tu
Ila si kwa hii miondoko, sijui jamaa posho zimezidi 😂 😂 😂 ni miondoko ya Miso misondo umepigaje apo
Khaaaa basii sawaa....muda taongeaaaChalamila ni stress free leader , yuko vizur kiuongozi ki mamlaka na kijamii pia
Nani alikudanganya kwenye siasa yupo vizuri??Wakuu,
Kumbe Mkuu wa Mkoa yupo vizuri hadi pande hizi, si kwenye Siasa tu
Hana shida huyo akiwa kikazi usicheze na mamlaka yake , akiwa kijamii ni fala haswaa mengine mtamuhukumu tu yapo juu ya uwezo wakeKhaaaa basii sawaa....muda taongeaaa
Uongozi sio kukaza uso na kukaa kimamlaka muda wote kuna wakati unajichanganya kama hivyoHuyu naye utakuta ana ndoto za kuwa Rais wa nchi hii siku moja....
Uongozi sio kukaza uso na kukaa kimamlaka muda wote kuna wakati unajichanganya kama hivyo
Kwa nchi yetu inawezekana kuwa rais, kuna namba 1 wa nchi fulani ni divisheni zeroHuyu naye utakuta ana ndoto za kuwa Rais wa nchi hii siku moja....
Huna akiliKwa nchi yetu inawezekana kuwa rais, kuna namba 1 wa nchi fulani ni divisheni zero