RC Albert Chalamila: Gari lililobeba mitambo maalum liko njiani kwa ajili ya Uokoaji Kariakoo

Ujumbe wa kuumiza sana😭😭😭
IMG-20241116-WA0034.jpg
 
Kwa sasa viongozi waache siasa na uoga wa kuendelea kukaa madarakani na wafanye kazi Yao inavyo paswa.

Kariakoo imekua ya hovyo na takataka kabisa;Ukiacha ujenzi holela wa maghorofa ndani ya muda mfupi,Kuna lile la kugeuza maghorofa ya zamani hasa floor za pili kua maduka kwa kubomoa Kuta jambo ambalo ni hatari sana kwa structure design ya jengo Hili limekua kila Kona ya kkoo.
Pia kugeuza maghorofa kuwa full godown badala ya partial kama huko nyuma pia ni jambo linaloongeza mzigo ktk foundation base na majengo mengi huenda yakaanza kuzidiwa kwa siku zijazo.

Pia miundo mbinu inazidiwa sana kutokana na ruhusa ya meza za wamachina,packing ya magari/stendi za daladala baadhi ya maeneo,kuingiza gari kubwa na za saizi ya kati kama canter katikati ya mitaa,watu kujiamulia kupanga na kuuza popote ikiwamo kupika pika hovyo hata mihogo/mishikaki karbu na majengo/nyaya za umeme hasa transformer.
Udhibiti mdogo wa bajaji/pikipiki jijini na mengine meeeengi kunafanya kariakoo SI TU sehemu ya hovyo Bali ni hatari pindi majanga yanapotokea.
KARIAKOO IPANGWE UPYAAA
 
Yaani chalamila aliwahi kufika kabla hata Greda halijafika,........sasa sijui alikuwa anawahi kufanya nini wakati vifaa havipo, yaani kwa dunia ya sasa tunashindwa kupata simple machine kwaajili ya rescue tunaanza kuchimba na chepe na mikono? Halafu mambo ya kijinga ndiyo tuna entertain,sijui goli la mama........kuna upuuzi mwingi sana nchi hii,hakuna taasisi iliyo active zote zimeoza
 
Grader kama Cat 140h inaweza kutembea ikapenya na kufika hapo, excavator kwa sababu ni chain ndio haiwezi kutembea, ila naamini hizi halmashauri za Dar es salaam zina wheel excavators ambazo zinaweza kuwa mobilized kwenye ajali haraka.

Wakandarasi kibao hapo Dar es salaam wana wheel excavator tena wengine wanaweza kuwa karibu na hilo eneo Kwa kuanzia zingeweza kuwa mobilized hapo na kuanza uokozi.
Wheel loaders zingeweza kuwa mobilized haraka na kuanza rescue huku Hesabu nyingine zikipigwa.
 
Wanasubiri zabuni itangazwe ya uokoaji mambo ya kutumia mafuta bila kulipwa hapana
 
Grader kama Cat 140h inaweza kutembea ikapenya na kufika hapo, excavator kwa sababu ni chain ndio haiwezi kutembea, ila naamini hizi halmashauri za Dar es salaam zina wheel excavators ambazo zinaweza kuwa mobilized kwenye ajali haraka.

Wakandarasi kibao hapo Dar es salaam wana wheel excavator tena wengine wanaweza kuwa karibu na hilo eneo Kwa kuanzia zingeweza kuwa mobilized hapo na kuanza uokozi.
Wheel loaders zingeweza kuwa mobilized haraka na kuanza rescue huku Hesabu nyingine zikipigwa.
Serikali ipi hiyo ifanye hivyo

Ova
 
Back
Top Bottom