Tangu lini nchi hii kwenye suala la uhokoaji wakaweza,nchi ikitokea majanga hesabuni viliooo tuYaani chalamila aliwahi kufika kabla hata Greda halijafika,........sasa sijui alikuwa anawahi kufanya nini wakati vifaa havipo, yaani kwa dunia ya sasa tunashindwa kupata simple machine kwaajili ya rescue tunaanza kuchimba na chepe na mikono? Halafu mambo ya kijinga ndiyo tuna entertain,sijui goli la mama........kuna upuuzi mwingi sana nchi hii,hakuna taasisi iliyo active zote zimeoza
Ghorofa limeanguka huyu mjinga anasema hali ya usalama ni kubwa?Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema tayari gari maalum lililobeba greda na mitambo mingine linakaribia kufika Kariakoo kwa ajili ya kusaidia uokoaji wa Watu waliofukiwa na kifusi baada ya ghorofa kuporomoka ambapo amewataka Watanzania kutolaumiana kwa sasa bali kuweka nguvu kwenye kuokoa waliofukiwa.
Pia, soma: Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16
"Kama kuna vifo tutaendelea kuhabarishana lakini hadi muda huu hali ya usalama katika eneo hili ni kubwa na niwaombe Wafanyabiashara wote pamoja na Ndugu na Jamaa ambao Rafiki na Ndugu zao wapo kwenye jengo hili tuendelee kuwa na subira, hadi sasa tumefanya jitihada za kuleta mitambo, mnafahamu greda hauwezi kupitisha barabarani lazima ubebe kwenye gari maalum la mitambo na hadi muda huu lipo karibu kuja kusaidia uokozi"
"Niombe sana tuendelee kuwa na usikivu na ustahimilivu na Mh. Rais ametoa pole kwa waliopata na majanga, nitoe rai kwamba muda huu sio muda wa kulaumiana, ni muda wa kuwakoa wenzetu, jengo hili lina underground tunaambiwa wapo Watu ndani, baada ya muda tutatoa taarifa sahihi wangapi wamepatikana chini na wakiwa na hali gani, Vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama na Viongozi tupo hapa, tusilaumiane kwanza hadi tafiti zikianza tubaini chanzo"
View attachment 3153644
Binadamu ukisha mu-hold masaa matano tu sehemu yenye hewa ndogo na joto linalozidi nyuzi 40 hesabu umempoteza unless kuwe na hewa huko chini. So sad kwa kweli !Mungu atusaidie sana imagine mimi nimekaa nakunywa beer kumbe kuna binadamu mwenzangu amenasa kwenye gorofa lililoanguka!?? Mungu baba tusameheMasaa yashapita zaidi ya manne alafu hapo ni kkoo kitovu Cha biashara nchi nzima, sasa huku mikoani si mtakuja baada ya wiki!!!
Haya sasa Wana kariakoo mkiwa dukani hakikisheni mna stock ya chakula na maji hata ya wiki maana nchi hii haieleweki lolote linaweza kutokea
Hana akili huyoooGhorofa limeanguka huyu mjinga anasema hali ya usalama ni kubwa?
Na Tanzania kukabiliana na majanga zerooo kabisaBinadamu ukisha mu-hold masaa matano tu sehemu yenye hewa ndogo na joto linalozidi nyuzi 40 hesabu umempoteza unless kuwe na hewa huko chini. So sad kwa kweli !Mungu atusaidie sana imagine mimi nimekaa nakunywa beer kumbe kuna binadamu mwenzangu amenasa kwenye gorofa lililoanguka!?? Mungu baba tusamehe
Umoja kati ya nani na nani?Kweli hiki ni kipindi cha kuwa wamoja.
Aliteuliwa kwa sababu ya kusema hovyoHana akili huyooo
Tumbo kichwa kikubwa tu
Maneno mengi tu
Ova
LilishafikaLimetokea mbali sana nini
Katika hali ya dharura kama hii walipaswa wasafishe barabara inayoelekea hapo... Kuondoa foleni ya namna yoyote ile, kama na hiki pia hakikufanyika basi ni tatizo kubwaMasaa yashapita zaidi ya manne alafu hapo ni kkoo kitovu Cha biashara nchi nzima, sasa huku mikoani si mtakuja baada ya wiki!!!
Haya sasa Wana kariakoo mkiwa dukani hakikisheni mna stock ya chakula na maji hata ya wiki maana nchi hii haieleweki lolote linaweza kutokea
Unyama sana
Hapa kwenye raha, hamuwezi ambiwa muwe pamoja
Baafa ya kuona Chadema hawahusiki akaona ni tukio la kawaida halihitaji haraka.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema tayari gari maalum lililobeba greda na mitambo mingine linakaribia kufika Kariakoo kwa ajili ya kusaidia uokoaji wa Watu waliofukiwa na kifusi baada ya ghorofa kuporomoka ambapo amewataka Watanzania kutolaumiana kwa sasa bali kuweka nguvu kwenye kuokoa waliofukiwa.