RC Amos Makalla: Kuhusu "vigodoro" nitalifanyia kazi

RC Amos Makalla: Kuhusu "vigodoro" nitalifanyia kazi

Jumbe Brown

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2020
Posts
12,077
Reaction score
12,786
RC Amos Makala ametema CHECHE ya kwamba ,kuhusu "vigodoro" na ngoma zake anavifahamu na ATAVIFANYIA KAZI.

Hii imekuja baada ya baadhi ya wanadarisalama kuchoshwa na "VIGODORO " na kuonekana kuwa ni CHANZO CHA UVUNJIVU WA MAADILI kwa watoto, vijana na wana ndoa.

#DarYaAmosMakalla
#KaziIendelee
 
Huu sio wajibu wake sasa ana anza kuingilia starehe za watu Akomeshe kwanza ujambazi na wizi
Starehe na Wakati wengine wanasema kero kwa watoto wao na jamii ?!!!

Kwani vingekuwa na UTARATIBU unadhani hao wanaolalamikia wangejitokeza ?!!!

Mkuu wa mkoa anasimamia YOTE HAYO ila kwa utaratibu mahsusi....
 
Huyu atafute mambo ya maana ayafanyie kazi mambo ya vigodoro yalikuwa zamani sikuhizi kumetulia
 
Kama ni kuzuia Watoto kuhudhuria Vigodoro hapo sawa ila kupiga marufuku Starehe za Watu hapo anataka watu waende wapi aache Starehe za Watu
 
Kwani ivi vigodoro vinafanywa usiku au mchana na je wanapata access vp uko kama sio wazazi na walezi ambayo hawako makini
Vinafanyika katika UPENU na VIBARAZA vya majumba ya watu uswahilini.....

Hivi huko uswahilini unaweza kumzuia mtoto asikae kibarazani kwao?!!

Ingekuwa ni MASAKI sawa kwani nyumba nyingi zina kuta na mageti 🤣
 
Watu mlikuwa mnasema Dar imepoa mama amrudishe ndakoma sasa kaletwa wa type yake mtafurahi. Ameingia juzi tu Ila keshatoa matamko kibao na keshakaa na wazee wa Dar, Mara keshakutana na RPC yani balaa😃
 
Back
Top Bottom