Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Starehe na Wakati wengine wanasema kero kwa watoto wao na jamii ?!!!Huu sio wajibu wake sasa ana anza kuingilia starehe za watu Akomeshe kwanza ujambazi na wizi
🤣🤣Dar shauri yenu.
Huku Pwani hata Kama hatuna hela weekend tuna uhakika wa burdani.
Kumbuka yeye ndiye mtawala mkoani Dares SalaamHuu sio wajibu wake sasa ana anza kuingilia starehe za watu Akomeshe kwanza ujambazi na wizi
👍👍Kumbuka yeye ndiye mtawala mkoani Darisalama.
Ama kwa kuchukua hatua yeye mwenyewe au kuelekeza lishughulikiwe kwa namna atakavyoona inafaa.
Kwani ivi vigodoro vinafanywa usiku au mchana na je wanapata access vp uko kama sio wazazi na walezi ambayo hawako makiniStarehe na Wakati wengine wanasema kero kwa watoto wao na jamii ?!!
Anze na majambazi kwanza wanaotoa uhai wa watuKumbuka yeye ndiye mtawala mkoani Darisalama.
Ama kwa kuchukua hatua yeye mwenyewe au kuelekeza lishughulikiwe kwa namna atakavyoona inafaa.
Ha ha haaa, kajadiliane naye, au kampangie ratiba, nn kianze na kipi kifuate. Akikubaliana na wewe, lete mrejesho hapa jukwaani.Anze na majambazi kwanza wanaotoa uhai wa watu
Vimeanza miaka na miaka hivyo vigodoro...Kwa kweli vigodoro vipigwe pini mapema sana
Hivi hana washauri wa kumshauri??Majambazi ardhi maji barabara...usalama kwa ujumla viwanda na ajura zake.....vigodoro its too low for him now
Vinafanyika katika UPENU na VIBARAZA vya majumba ya watu uswahilini.....Kwani ivi vigodoro vinafanywa usiku au mchana na je wanapata access vp uko kama sio wazazi na walezi ambayo hawako makini
Anao kibaooo tu ndio wanaompangia ratiba...tumpe mudaHivi hana washauri wa kumshauri??