RC Amos Makalla: Kuhusu "vigodoro" nitalifanyia kazi

Kuna uhaba wa madarasa SHULE za msingi na sekondari,maji Safi na salama,barabara, rushwa,ajira,kuboresha biashara nk. Haya ndio ya msingi.

Etii akataze Vigodoro? Akisikiliza hizo kelele za watu wa Mikoani waliokuja na kubahatika kuishi Da-slaam bila shaka jiji litamshinda
 
Dar es Salaam anaiweza PAUL MAKONDA tu!
 
Anao kibaooo tu ndio wanaompangia ratiba...tumpe muda
Kabisaa kiongozi wala hamna neno kabisaaa....wacha tumpe muda....kumbe kila kitu anafanya anapangiwa na watu.....
 
Makala anza na huku magomeni
 
Wanaopenda fujo za mtawala mama amesikia kilio chenu na amewaletea wa kuwafaa
 
 
Kuna matusi yanaimbwa na yako certified na jamii zote.Nani anahusika huko pia.
 
Huu sio wajibu wake sasa ana anza kuingilia starehe za watu Akomeshe kwanza ujambazi na wizi
Hapana huu Ni wajibu wake maana kuongoza watu wasio na maadili gharama yake Ni kubwa, nadhani vigodolo na kanga moja vilibaki Dar na pwani kwingine kite vilipigwa marufuku huko nako vipigwe marufuku tu vinaharibu watoto wetu ambao Ni taifa la kesho
 
RC, Mr. Makalla, pressing problems za watu wa Dar siyo vigodoro. Achana na cheap popularity!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…