John John Msakuzi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 296
- 103
Kachukue ten lako sasaView attachment 3438898
Akiongea na Wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anamringi Macha, amesema kuwa kupitia kampeni ya Kitaifa ya Samia Legal Aid, wananchi 177,114 (wanaume 80,000 na wanawake 97,114) wamepata elimu ya msaada wa kisheria ili kuongeza uelewa wa haki zao na taratibu za kisheria. Vilevile, watoa huduma 108 kutoka kata 108 kati ya 133 na wasaidizi 13 (wanaume 11, wanawake 2) wamepatiwa mafunzo maalum ya kuimarisha uwezo wa kutoa msaada wa kisheria katika ngazi za jamii.
Aidha, amesema kampeni hiyo imewezesha kutatuliwa migogoro ya ardhi 452 kwa njia ya amani na kupunguza mashauri yaliyohamishiwa kwa watoa huduma wengine kutoka 470 mwaka uliopita hadi 18 pekee, hatua inayoongeza ufanisi wa upatikanaji wa haki. Pia, mkoa umepata mashirika matano yasiyo ya kiserikali yanayotoa huduma za msaada wa kisheria katika kila wilaya, jambo linalosogeza huduma karibu na wananchi, kupunguza msongamano wa mashauri mahakamani, na kuimarisha hali ya ulinzi na usalama mkoani Simiyu.
Acha ufafafaa CCM hailipi mtu yoyote kuiseme kama mnavyofanya wapinzaniKachukue ten lako sasa
Kama hulipwi basi wewe ni fa...aAcha ufafafaa CCM hailipi mtu yoyote kuiseme kama mnavyofanya wapinzani
hata kama mimi nimeapa kuipambania CCM bure kabisaKama hulipwi basi wewe ni fa...a
Najua unaishi Kwa shemeji yakohata kama mimi nimeapa kuipambania CCM bure kabisa
duuuuh pole sana mdogo wanguNajua unaishi Kwa shemeji yako
inaenda kila kona ndg yanguWanahangaika hawa kila kitu ujinga tu. Hiyo Samia sijui nini mbona haiendi magerezani kusaidia watu.
Wewe niTANGU UHURU HATUKUWAHI KUONA MAMBO MAZURI KAMA HAYA NDG ZANGU.
Najua unaishi Kwa shemeji yako
UPOKachukue ten lako sasa
Hongera sana SimiyuView attachment 3438898
Akiongea na Wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anamringi Macha, amesema kuwa kupitia kampeni ya Kitaifa ya Samia Legal Aid, wananchi 177,114 (wanaume 80,000 na wanawake 97,114) wamepata elimu ya msaada wa kisheria ili kuongeza uelewa wa haki zao na taratibu za kisheria. Vilevile, watoa huduma 108 kutoka kata 108 kati ya 133 na wasaidizi 13 (wanaume 11, wanawake 2) wamepatiwa mafunzo maalum ya kuimarisha uwezo wa kutoa msaada wa kisheria katika ngazi za jamii.
Aidha, amesema kampeni hiyo imewezesha kutatuliwa migogoro ya ardhi 452 kwa njia ya amani na kupunguza mashauri yaliyohamishiwa kwa watoa huduma wengine kutoka 470 mwaka uliopita hadi 18 pekee, hatua inayoongeza ufanisi wa upatikanaji wa haki. Pia, mkoa umepata mashirika matano yasiyo ya kiserikali yanayotoa huduma za msaada wa kisheria katika kila wilaya, jambo linalosogeza huduma karibu na wananchi, kupunguza msongamano wa mashauri mahakamani, na kuimarisha hali ya ulinzi na usalama mkoani Simiyu.
mitano tena kwa mama Samia
chini ya Rais Samia,View attachment 3438898

Apewe Maua yakechini ya Rais Samia,
tanzania inashika nafasi 2 kwa kuzalishaji wa korosho Africa
tanzania iinashika nafasi ya 2 kwa uzalishaji wa mbaazi Duniani
tanzania inashika nafasi ya 1 Africa Mashariki kwa hifadhi ya chakula
Mama anastahilimitano tena kwa mama Samia