RC anapigana na bei ya sukari mitaani, nilitegemea ataniambia why sukari imekosekana mitaani, nchi hii alijisemea yule president kuwa tumelogwa, Zambia sukari yao yote ya kutosheleza nchi na kuuza nje, inazalishwa pale kwenye kamji kadogo Mazabuka,Tanzania tuna viwanda zaidi ya 3 ,sukari inakwenda wapi?