RC Byakanwa, Harmonize waacha gumzo Tandahimba

wandamba

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
510
Reaction score
839
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Gelasius Byakanwa pamoja na msanii wa Bongo fleva Harmonize wameacha gumzo kubwa wilayani Tandahimba kwenye mkutano na Wajasiliamali wadogo juu ya vitambulisho.

Gumzo la RC Byakanwa limekuja mara baada ya kukoleza msimamo alioutoa Rais Magufuli wa Mjasiliamali mdogo kutokusumbuliwa kwa kudaiwa ushuru wa aina yeyote ule jambo ambalo lilishangiliwa na Watu wengi.

Naye msanii Harmonize aliacha gumzo na shangwe kubwa kwa kuamua kuwalipia vitambulisho Wajasiliamali wadogo 50 kama sehemu ya kusherehekea kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyo hela ya vitambulisho angemalizia Nyumba kijijini[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo na korosho ndiyo zimeuzwa?

In God we trust
 
50 * 20000=


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ile zawadi ya gari aliyomuahidi Shilole tayari ashampa? Maana hao machinga hamsini wanaweza kuishia kuahidiwa tu kama Shishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…