Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Gelasius Byakanwa pamoja na msanii wa Bongo fleva Harmonize wameacha gumzo kubwa wilayani Tandahimba kwenye mkutano na Wajasiliamali wadogo juu ya vitambulisho.
Gumzo la RC Byakanwa limekuja mara baada ya kukoleza msimamo alioutoa Rais Magufuli wa Mjasiliamali mdogo kutokusumbuliwa kwa kudaiwa ushuru wa aina yeyote ule jambo ambalo lilishangiliwa na Watu wengi.
Naye msanii Harmonize aliacha gumzo na shangwe kubwa kwa kuamua kuwalipia vitambulisho Wajasiliamali wadogo 50 kama sehemu ya kusherehekea kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app