Inaonekana yuko obsessed sana na ushoga.Huyo mkuu anatakiwa ajibiwe vema, kamati ya maandalizi ya mikutano ya Morey si ipo? wamjibu, anauchafua ukristo kuwa unasapoti ushenzi huo wakati unakemea vikali kwamba wafiraji hawataurithi ufalme wa Mungu
Mi nimeshangaa, sijaelewa hata alitaka ninikama ishu ni kugawa mipira mbona ni kawaida vi NGOs vya kigeni kugawa mipira mashuleni.
Anapenda sana media huyo Rc mpumbavu kabisaHuyo RC inatakiwa ashtakiwe kwa "deformation" na approve namba gani jamaa anahamasisha ushoga.
Ni mpumbavu sana huyo RC. Mwinjilisti sio mara yake ya kwanza kufanya mikutano na wiki iliyopita alikuwepo Shinyanga na alifanya mkutano wa wiki nzima. Je Shinyanga hawakuona hilo suala la Ushoga.
Pumbavu sana huyo RC mzee wa kukurupuka na kutafuta kiki za kijinga.
Kama inasemwa basi jua ipo,mkuu wa mkoa yupo sawa kuzuia huo ujinga.Misconception. Duniani hakuna mtu ambaye huhamasisha watu kuingia kwenye homosexuality!
Comment ya kwanza kabisa inayo make sense ...Hizi ni abrakadabra tu za mkuu wa mkoa, hakuna ushoga hapo. Dana Morey hajaanza kuhubiri Tanzania leo, kahubiri miji mingi hatujaona akihubiri ushoga kwenye mikutano yake
Naunga mkono hoja ...Tabora hakuna RC hapo ni msanii tu huyo mpenda kiki na content creator wa issue za kipumbavu.
na uzee huo aache kuchafua watu akalee kitoto kidogo alichozaa na yule hakimu msaidizi wa Jaji. hakuna mpenda kiki asiye malaya.Tabora hakuna RC hapo ni msanii tu huyo mpenda kiki na content creator wa issue za kipumbavu.