RC Chacha asitisha mkutano wa injili wenye viashiria vya mapenzi ya jinsia moja Tabora

Huyo mkuu anatakiwa ajibiwe vema, kamati ya maandalizi ya mikutano ya Morey si ipo? wamjibu, anauchafua ukristo kuwa unasapoti ushenzi huo wakati unakemea vikali kwamba wafiraji hawataurithi ufalme wa Mungu
 
Anapenda sana media huyo Rc mpumbavu kabisa
 
Mchungaji Rashid🤔😮😐
 
Huyo RC alishindwa kazi baada ya kushindwa kuipigania Tabora Utd ibaki Tabora.

Haiwezi kusimama kuhofia rangi ambazo hamna uthibitisho wa moja kwa moja wa tuhuma nzito unazozitoa. Naelewa masuala ya "symbolism" ila hatuwezi kuendesha nchi kwa kushutumu watu bila uthibitisho.

Kama tumeanza kuogopa rangi, tuangalia bendera za nchi nyingi za Africa!

Tuache unafki. Mitandaoni tunaona wasanii maarufu wapo karibu na watu hao katika shughuli mbalimbali ila CCM haina shida ya kuwatumia wasanii hao katika kampeni zao.
 
Hizi ni abrakadabra tu za mkuu wa mkoa, hakuna ushoga hapo. Dana Morey hajaanza kuhubiri Tanzania leo, kahubiri miji mingi hatujaona akihubiri ushoga kwenye mikutano yake
Comment ya kwanza kabisa inayo make sense ...
 
Tabora hakuna RC hapo ni msanii tu huyo mpenda kiki na content creator wa issue za kipumbavu.
na uzee huo aache kuchafua watu akalee kitoto kidogo alichozaa na yule hakimu msaidizi wa Jaji. hakuna mpenda kiki asiye malaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…