johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye awali alikuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa mh Chalamila amesema ni heri Magufuli amekufa baada ya kuipatia CCM ushindi wa kishindo vinginevyo hali ingekuwa tete.
Chalamila amesema hapati picha hali ingekuwaje iwapo Magufuli angekufa wakati wa kampeni ambako hakuna Rais wala Makamu wa Rais.
My take; Wakati wa kampeni kunakuwa hakuna Rais na Makamu wa Rais?
Ukinizingua Nitakuzingua