johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni jitu la hovyo kabisa kuwahi kuongoza, vyeo vya RC na DC vifutwe kwenye katibaHuyu apumzishwe tu jaman
Ameshachoka hamna wala hana jipya analoweza kulitekeleza kwa sasa
Viatu vimemzidi awapishe wengine na tumwambie asante kwa kushiriki
Cha Makete.Hakuna RC wa hovyo kama Chalamila, sijui anatumia cha Mbuguni?
Ok ndiyo mnakuwa wote?Cha Makete.
Kile anatumiaga Sugu!
Mimi nagonga mkangafu tu!Ok ndiyo mnakuwa wote?
SawaMimi nagonga mkangafu tu!
Mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye awali alikuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa mh Chalamila amesema ni heri Magufuli amekufa baada ya kuipatia CCM ushindi wa kishindo vinginevyo hali ingekuwa tete.
Chalamila amesema hapati picha hali ingekuwaje iwapo Magufuli angekufa wakati wa kampeni ambako hakuna Rais wala makamu wa Rais.
My take; Wakati wa kampeni kunakuwa hakuna Rais na makamu wa Rais?
Ukinizingua Nitakuzingua
Ukizingua nakuzingua tunazinguanaNimeongea na Raisi ni mzima na anawasalimia
Chalamila ni psychiatric case.Mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye awali alikuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa mh Chalamila amesema ni heri Magufuli amekufa baada ya kuipatia CCM ushindi wa kishindo vinginevyo hali ingekuwa tete.
Chalamila amesema hapati picha hali ingekuwaje iwapo Magufuli angekufa wakati wa kampeni ambako hakuna Rais wala makamu wa Rais.
My take; Wakati wa kampeni kunakuwa hakuna Rais na makamu wa Rais?
Ukinizingua Nitakuzingua
Hahahaaaa...... Miye kimya tu bwashee!Yohane Mbatizaji wewe unaonaje๐๐๐๐
NimekuelewaaaaaaaHahahaaaa...... Miye kimya tu bwashee!
Anaitafuta step ya mdundo mpya... DJ kachange mdundo juu kwa juu .. Atafanyaje sasaUkizingua nakuzingua tunazinguana
View attachment 1746393